Zingatia haya.Naomba sana kuelemishwa juu ya uchaguzi wa Vijana wetu kuingia kidato cha tano. Mimi kijana wangu alipata daraja la kwanza ya pointi 9. Hii ina maana alipata A7, B1 na C1 lakini cha kushangaza amechaguliwa kozi ya Clinical Officer - Kilosa. Nilitegemea achaguliwe kidato cha tano - Shule Maalum. Swali la kuuliza Je huyu kijana ndiyo alichagua hiyo kozi au Serikali ndiyo imemchagulia?. Mimi sioni kama kuna haki hapa. Basi ngoja nimpeleke Feza Boys hata kwa gharama yeyote.
Write your reply...Huo ni uongo, angepata hizo marks angekua na 1 ya 7.
Yamenikuta hayo hayo kwa mwanangu,hakupata 1 lkn alipata maksi za kumpeleka 5 lkn katupwa chuoNaomba sana kuelemishwa juu ya uchaguzi wa Vijana wetu kuingia kidato cha tano. Mimi kijana wangu alipata daraja la kwanza ya pointi 9. Hii ina maana alipata A7, B1 na C1 lakini cha kushangaza amechaguliwa kozi ya Clinical Officer - Kilosa. Nilitegemea achaguliwe kidato cha tano - Shule Maalum. Swali la kuuliza Je huyu kijana ndiyo alichagua hiyo kozi au Serikali ndiyo imemchagulia?. Mimi sioni kama kuna haki hapa. Basi ngoja nimpeleke Feza Boys hata kwa gharama yeyote.
Naomba sana kuelemishwa juu ya uchaguzi wa Vijana wetu kuingia kidato cha tano. Mimi kijana wangu alipata daraja la kwanza ya pointi 9. Hii ina maana alipata A7, B1 na C1 lakini cha kushangaza amechaguliwa kozi ya Clinical Officer - Kilosa. Nilitegemea achaguliwe kidato cha tano - Shule Maalum. Swali la kuuliza Je huyu kijana ndiyo alichagua hiyo kozi au Serikali ndiyo imemchagulia?. Mimi sioni kama kuna haki hapa. Basi ngoja nimpeleke Feza Boys hata kwa gharama yeyote.
Hivi nyie wazee mko dunia ya ngapi?, Kwa Sasa chuo ni Bora kuliko hiyo fm5 na 6..acha mtoto aende chuo hutojutaYamenikuta hayo hayo kwa mwanangu,hakupata 1 lkn alipata maksi za kumpeleka 5 lkn katupwa chuo
Leta masomo hayo aliyopata A na pia hayo mengine aliyopata B na C halafu na Combination aliyoichagua ili tutoe maoni yetu vizuri.Naomba sana kuelemishwa juu ya uchaguzi wa Vijana wetu kuingia kidato cha tano. Mimi kijana wangu alipata daraja la kwanza ya pointi 9. Hii ina maana alipata A7, B1 na C1 lakini cha kushangaza amechaguliwa kozi ya Clinical Officer - Kilosa. Nilitegemea achaguliwe kidato cha tano - Shule Maalum. Swali la kuuliza Je huyu kijana ndiyo alichagua hiyo kozi au Serikali ndiyo imemchagulia?. Mimi sioni kama kuna haki hapa. Basi ngoja nimpeleke Feza Boys hata kwa gharama yeyote.
Kweli kabisa, njia ya muongo fupi sana!Write your reply...Huo ni uongo, angepata hizo marks angekua na 1 ya 7.
Huwezi linganisha form five na Clinical Officer ya form four. Kwani akimaliza form six na akaenda Clinical Officer ipi ni bora. Afadhali amalize form six ndipo aende clinical officer. Ukitaka kutazama uchaguzi wa form five fungua website ya necta halafu ufuate maelekezo.
Wewe umemuuliza? Kasemaje? Alichagua yeye Chuo kama chaguo la kwanza ama?Naomba sana kuelemishwa juu ya uchaguzi wa Vijana wetu kuingia kidato cha tano. Mimi kijana wangu alipata daraja la kwanza ya pointi 9. Hii ina maana alipata A7, B1 na C1 lakini cha kushangaza amechaguliwa kozi ya Clinical Officer - Kilosa. Nilitegemea achaguliwe kidato cha tano - Shule Maalum. Swali la kuuliza Je huyu kijana ndiyo alichagua hiyo kozi au Serikali ndiyo imemchagulia?. Mimi sioni kama kuna haki hapa. Basi ngoja nimpeleke Feza Boys hata kwa gharama yeyote.
Kwani mshahara wanatofautiana? Mwenye Diploma na kamaliza Form four Vs Mwenye Diploma na kamalixa Form six.Huwezi linganisha form five na Clinical Officer ya form four. Kwani akimaliza form six na akaenda Clinical Officer ipi ni bora. Afadhali amalize form six ndipo aende clinical officer. Ukitaka kutazama uchaguzi wa form five fungua website ya necta halafu ufuate maelekezo.
Unadhani chuo ni Mia mbili eti????Hivi nyie wazee mko dunia ya ngapi?, Kwa Sasa chuo ni Bora kuliko hiyo fm5 na 6..acha mtoto aende chuo hutojuta