Tunampongeza Rais mpya wa ufaransa! Lakini CCM ni chama imara na chenye wanachama wengi sana ambao wako tayari kujitoa kwa ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi kukiimarisha chama ili kiweze kuleta maendeleo kwa Taifa letu hiyo ya ufaransa ni changamoto tu inayokifanya CCM kijipange vizuri ili kizidi kuwatumikia watanzania.Nyie mnaofikiria kushinda chaguzi kwa kuonewa huruma mtasubili sana kwani kwa Tanzania hakuna chama bora na chenye mwelekeo sahihi kama CCM.
CCM OYEEEE...................................................