Hivi neno democrasia lina maana gani? na huwezi ukatoa mifano ya TANU na CHADEMA kwani kila kimoja na wakati wake na mazingira halisi kama uongozi mbowe sio wakwanza kukiongoza CHADEMA
CCM ni wajanja sana wanatakakuifundisha CHADEMA ili ifuate matakwa yao kwa kisingizio cha demokrasia.Isije ikawa magamba wamemwandaa mamuluki ambae wanataka kumupenyeza kwenye safu ya uongozi wa CHADEMA ili wapate kaunafuu fulani baada ya kubanwa kisawa sawa na uongozi uliyopo.Hii huruma ya magamba kwa CHADEMA wanaitoa wapi?Tangu lini magamba wakawa na demokrasia ya kweli kiasi cha kutaka kuifundisha CHADEMA demokrasia?.Mbona Mwenyekiti wao wa kwanza Jk Nyerere alikaa kwenye uongozi wa TANU bila kuitisha uchaguzi mpaka akaipeleka kwenye uhuru mwaka1961 hata baada ya nchi kupata uhuru aliendelea kuwa mwenyekiti.Ikazaliwa CCM akaendelea kuwa mwenyekiti hivyo hivyo huku akiendelea kuwa Rais wa Tz hata alipoacha urais kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 alikataa kukabidhi nafasi ya mwenyekiti wa chama alikuja kukabidhi baada ya kujiridhisha kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukabidhi nafasi hiyo.tangu wakati huo nafasi ya Urais na kwenye chama wagombea walikuwa ni mwenyekiti na kivuli mtindo ambao unaendelea mpaka sasa kwenye nafasi ya uwenyekiti wa chama ambapo ni maruku mwenyekiti wao kupingwa mpaka baada ya muda fulani kupita.Ukija upande wa CHADEMA hakuna hata kiongozi mmoja aliekaa zaidi ya miaka 30 wawe waasisi wa chama au awe nani.Ukiangalia kwenye safu ya uongozi wote ni viongozi wapya humukuti kiongozi wa mwaka 47.CHADEMA wanafaa kuwa walimu wa demokrasia.
Demokrasia ya kuwa mwenyekiti wa kudum??
Mbowe amepokea urithi wa uenyekiti wa NGO ya mkwe wake. Hadi apatikane mwana ukoo mwingine ndio uchaguzi utafanyika
kwani wewe hujui hadi sasa Mtei ni mwenyekiti
Mie nilidhani makamanda tunafanya uchaguzi hivi karibuni?maana inabidi tubadilishe mtu kwenye nafasi ya Katibu Mkuu,huyu tuliyenaye ni full majanga,nasikia kampachika mimba house girl wake.
CCM wenyewe kama wanadhani hiyo demokrasia ya kuchagua wenyeviti wanayo, wamchague mwenyekiti wa ccm nje ya Rais tuone.Unazidi kutuaminisha kuwa CHADEMA ni chama cha kifalme kisicho na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa kipo kwa manufaa ya watu wa kaskazini tu
Kama kweli mbowe ni wakiume atangaze uchaguzi chadema
Napendekeza uchaguzi ndani ya CDM uwe 2016 baada ya uchaguzi mkuu. Hii ni kwa kuwa mauchaguzi ya vyama yanachafua sana hali ya hewa ndani ya vyama. Ndo maana naona humu JF pro-ccm wanahoji kwa shinikizo uchaguzi wa CDM kuwa ufanyike kabla ya Uchaguzi mkuu!!Aaaaghrrrrr!!!!!! mimi nilijua unatangaza tarehe ya uchaguzi kumbe simulizi za sungura na fisi?
Mie nilidhani makamanda tunafanya uchaguzi hivi karibuni?maana inabidi tubadilishe mtu kwenye nafasi ya Katibu Mkuu,huyu tuliyenaye ni full majanga,nasikia kampachika mimba house girl wake.
Ni wapi nilikoonyesha kuvutiwa na mada hii?Sijavutiwa wala kukasirishwa na mada hii.Mada hii ni kipambe zaidi,mtoa mada kamsifu sana mbowe na kumponda zitto.Huu ni uchonganishi kwa viongozi wetu.Cha ajabu Ben Saanane kavutiwa na mada hii ya kipuuzi na kuisambaza facebook.Uendeshaji huu wa vyama vya siasa ni wa kijinga na kinafiki.
TANU ilikuwa na lengo la kumuondoa madarakani mkoloni mweupe CHADEMA ina lengo la kumuondoa mkoloni mweusi.
Mbowe amepokea urithi wa uenyekiti wa NGO ya mkwe wake. Hadi apatikane mwana ukoo mwingine ndio uchaguzi utafanyika
Unazidi kutuaminisha kuwa CHADEMA ni chama cha kifalme kisicho na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa kipo kwa manufaa ya watu wa kaskazini tu
Kwa sababu mwenyekiti wa chama chako anachojua ni juice tu atasema nini GPA 2.0 huoni kila kitu lazima asukumwe kama toroli CCM chama cha majambazi wauza unga kila mtu ana kata mbuga kukimbia ukweliMada inahusu uchaguzi wa SACCOS ya chadema. Suala la katiba tunasubiri juice siku ya jumanne