VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
*Zoezi la uchaguzi lililotarajiwa saa kumi na mbili asubuhi, kuna vituo limeanza saa kumi alfajili.
*Badhi ya maeneo, waliojitokeza kushiriki zoezi la kupiga kula, wamelalamikia vitendo vichafu vya IMBONERAKURE kwany’ang’anya kadi zao za kupiga kura, kwa lengo la kupigiwa kula na vijana hao wa chama tawala.
*Raia wanalazimiahwa kuchaguga CNDD-FDD, na katika maeneo kama Ruziba, Butaganzwa, Nyakagunda, Marangara, Kirundo, Nyamurenza, wapiga kula walisimamiwa na Polisi na Imbonerakure, kuhakikisha wanachagua wanavyotaka wao.
* Karurama (Cibitoke): waliokataa kutoa kadi zao, wamezuiliwa kuingia na kushiliki zowezi la upigaji kula.
*Kiyenzi (Kanyosha) raia wawili wametiwa mbaloni na Polisi, ambao ni wafuasi wa chama cha Burundi Bwa Bose. Inasemekana wamekataa kupiga kula mbele ya Imbonerakure, na kukamatwa kwa kosa la kuvuruga amani kwenye vituo vyao vya kupigia kula.