GE2025 Uchaguzi bila CHADEMA, ni Uchaguzi mfu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimejaribu kuangalia mijadala ya wagombea wa Chama Chaumma(CHAUMMA), CUF, na AAFP, nikiri kuwa ukosefu wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), kumefanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa Moja ya chaguzi za hovyo tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe,

Nakiri kuwa Tundu Antipas Lissu na John Wegesa Heche ni miongoni mwa wanasiasa wenye hoja mtambuka zenye kugusa maisha ya wananchi na pengine ni wagombea wenye ushawishi zaidi ambao kwa kukosa kwetu demokrasia madhubuti basi tumekosa michango yao madhubuti na jadidifu kuelekea uchaguzi ambao pengine ni uchaguzi wa hovyo zaidi kuwahi kutokea tangu mfumo wa vyama vingi uingie nchini Tanzania

Kwa kweli ni huzuni kubwa kwa taifa letu changa la Tanzania.
Sikio la kufa alisikii dawa.Sisi tuliona Mrema akitoka CCM anaigia NCCR Mageuzi. Tukashangilia sana,Mrema alikuwa habari ya mjini.
Tukajiunga in millions lakini mara serikali ilafuta uchaguzi,ikaupa siku nyingine.
Mrema akajitoa akatuacha mashabiki njia panda.
Na huu mchezo ndio huyo Lissu anacheza in new format.
Mimi sijaona inner cycle ya Chadema think tank kuangalia dramatic move za Bw Lissu.
Sana sana wameamua kuwa waumini tu.
 
Usimfananishe Lissu na Mrema, Lissu ni shujaa
 
Nimejaribu kuangalia mijadala ya wagombea wa Chama Chaumma(CHAUMMA), CUF, na AAFP, nikiri kuwa ukosefu wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), kumefanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa Moja ya chaguzi za hovyo tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe,

Nakiri kuwa Tundu Antipas Lissu na John Wegesa Heche ni miongoni mwa wanasiasa wenye hoja mtambuka zenye kugusa maisha ya wananchi na pengine ni wagombea wenye ushawishi zaidi ambao kwa kukosa kwetu demokrasia madhubuti basi tumekosa michango yao madhubuti na jadidifu kuelekea uchaguzi ambao pengine ni uchaguzi wa hovyo zaidi kuwahi kutokea tangu mfumo wa vyama vingi uingie nchini Tanzania

Kwa kweli ni huzuni kubwa kwa taifa letu changa la Tanzania.
Umepitia mkunduni huna akili zaidi ya mavi kichwani
 
Back
Top Bottom