Elections 2010 Uchaguzi BBC World

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Nimeona sasa hivi habari ya uchaguzi Bbc World. Hawakuongelea kuhusu ushindani wa vyama, bali tu hali ya amani iliyopo inayodumishwa kwa kutokuwa na ukabila.
 
bbc wana hisia za ki ''bbc''

achana nao hawana maana kabisa
 
mnahangaika nao kwanini, hawa jamaa si wanapenda propaganda za fujo kwa bongo watakatishwa tamaa tu!
 
bbc ni wazushi wakubwa wanajifanya ku2cfia hakuna ethenic conflict in this comin election compare to our neiboughs then when clasher arise they wll the first kutukandia kny jumuiya ya kimataifa!
 
Back
Top Bottom