paul vicent
Member
- Jul 13, 2012
- 44
- 4
Nimeona nchukue fulsa hii kuzungumzia uchaguzi wa baraza la vijana chadema taifa.Kiukweli nimeshangazwa sana na nilio yasikia na kuyaona kwenye social network.Watu kutumia fulsa hii ya kampeni kuchafua wenzao kuwaita wafuasi wa mtu fulani na hali si kweli.Hii kitu imeumiza wengi hasa wenye nia nzuri na chama pia wazalendo na nchi hii. Hata baada ya uchaguzi makundi haya yanaendelea na kudhaminiwa na chama tawala na watu wanajua na hawataki kuacha .Tujenge chama kwa maslahi ya nchi na si mtu mmojammoja.