Uchaguzi BAVICHA:Kamanda Kelvin Shemboko nakuomba ugombee uongozi

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Najua upo kwenye hili jamvi na utanielewa.Ni hivi,nimekuwa nikisikia na kusoma habari mbalimbali zinazo husu uchaguzi wa BAVICHA mwaka huu.Pamoja na majina mengi yanayo tajwa,bado naamini kwamba wewe kamanda Kelvin Shemboko unaweza kuongoza BAVICHA katika ngazi yoyote ile kwa kuwa unakijua chama pamoja na ujasiri wa hali ya juu ulio nao.Nakufahamu kwa sifa kuu tatu yaani UMU[UPENDO, MATUMAINI NA UJASIRI].Endapo kuna mtu anahitaji kumjua Kamanda huyu,basi ajue kidogo kwamba ni kijana mwenye stashahada ya Ualimu kutoka korogwe ttc,ni kamanda anaye pigania kujenga chama jimbo la Mlalo,wilaya ya Lushoto na mkoa wa Tanga kwa ujumla.Endapo kamanda huyu akapata combination murua najua hakuna wa kuzuia CDM kwenye mkakati wa kukamata Dola 2015 ikianzia kushinda chaguzi za serikali za mitaa.NAKUOMBA KELVIN SHEMBOKO ONESHA UNAWEZA.
 
Abarikiwe sana huyu kamanda kwani kachagua kazi iliyo njema ya kulipigania taifa lake dhidi ya mkoloni mweusi ccm
 
Back
Top Bottom