nashy
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 679
- 141
Sikulazimishi kuiamini, take it or leave it! Hapo kwenye nyekundu, unawasemea kina nani wengine waliokutuma????
Hiyo habari ya wanafunzi wa UD waendelee kusubiri home umeipata wapi? Wakati tumepangiwa vipindi tayari na jumatatu tunaanza kufundisha. Anyway me si sehemu ya management lakini sijazisikia ngoja tusubiri tuone.