Uchaguzi Arumeru Vs Ufunguaji vyuo vikuu

Unamaanisha CCM wameshashinda uchaguzi Arumeru kwa kutumia pesa za mikopo ya masomo ya vyuo vikuu? au sio?

Ha ha hili jimbo hawalipati hata kama wangetua hela za kununua sumu ya kuwalisha wanachama wao
 
Janja hii ilitumika hata Udom last election---chuo chenye idadi kubwa
wanachelewesha kufungua kwa visingizio kadhaa kuwatwist akili lakini ukweli ni kuwa wanapunguza idadi ya wapiga kura wa upinzani kwani wanachuo wengi wamejiandikisha vituo vyao ikiwa ni chuoni na kwakuwa wengi ni damu changa wanamageuzi ni mwiba kwa chama tawala.AMINI

Nitaamini endapo wakibaki majumbani mpaka baada ya uchaguzi
 
Inaweza kuwa kweli. Nachojua CCM wanahangaika kuhakikisha kwamba vyuo vikuu vya Arumeru winafungwa wakati wa uchaguzi. Wanafunzi wote hawaipigii kura CCM.

Ila MWANZISHA THREAD KASEMA UDSM NA SIYO VYUO VINGINE
 
Vita ni vita unapigana na silaha uliyonayo.

Kwa ujinga wa CCM wakisikia kuna vita dhidi ya Mbu wataanda FFU wote, Polisi wote na Vikosi kadha vya JWTZ. Wakitonywa kwamba mbu mwenyewe ana Mbawa basi hata jeshi la anga watahusishwa. LOL Hiiii! Hiiii!:first:

Kwa hiyo usishangae kusikia wametenga billioni 5 ili kuhakikisha ushindi unarudi CCM.
Hii ni Biashara ya kuuza Ngo'mbe ili ushinde kesi ya kuibiwa kuku
 
kaka udsm tunafungua j3, sijui hizo taarifa zako umezitoa wapi? sisi hatujatangaziwa kama tarehe yakufungua imebadilishwa au wewe mkandala
 
Kwa magamba bora kampeni kuliko elimu kama hakuna hela si bora jimbo libaki wazi kuliko wananchi kukosa elimu na ukiangalia wabunge wengine wanalala bungeni tu kama wasira

282081_147903238617876_100001946037887_311149_8320101_a.jpg
 
Janja hii ilitumika hata UDOM last election---chuo chenye idadi kubwa
wanachelewesha kufungua kwa visingizio kadhaa kuwatwist akili lakini ukweli ni kuwa wanapunguza idadi ya wapiga kura wa upinzani kwani wanachuo wengi wamejiandikisha vituo vyao ikiwa ni chuoni na kwakuwa wengi ni damu changa wanamageuzi ni mwiba kwa chama tawala.AMINI

Hapa watakuwa wanawalenga wanafunzi wa ARUSHA UNIVERSITY na TUMAINI MAKUMIRA (hapa mmoja wa wahadhiri wakealigombea ngazi ya kura za maoni kupitia CDM).
 
SAUT tumeishafungua karibu mwezi unakatika sasa hata harufu ya pesa hatuisikii! Wanatuongezea hasira tu ya uchaguzi 2015...wamuulize Masha, sasa tuone km kuna jimbo hata moja watalichukua hao magamba huku Mza. Ikumbukwe jimbo la NYAMAGANA ambalo kipo chuo cha SAUT Dr slaa alimpiga chini JK 2010!.
 
Kaka asante kwa taarifa lakini napata walakini n a taarifa yako maana unasema kuwa tayari wanafunzi wa udsm wameshatangaziwa kutokufungua chuo vipi wametangaziwa kwa njia ipi?maana hata kwenye website ya chuo hakuna anouncement kama hiyo.fafanua kidogo kuhusu namna walivyotangaziwa,
 
yamekuwa haya.na hapo bado kuna kesi mbaya zinazowakabili baadhi ya wabunge kama ile ya arusha.kwa iyo vyuo vitafungwa sana
 
Serikalini hatuna viongozi kwa sasa kwani karibia wote wanafikiri kwa kutumia masaburi,mimi naamini hii post ni ya kweli.
 
Serikalini hatuna viongozi kwa sasa kwani karibia wote wanafikiri kwa kutumia masaburi,mimi naamini hii post ni ya kweli.

wewe apo ndo unatumia ivo viungo vya nyuma kufikiri.acha kusingizia wengine.kaa chini acha kuropoka na kuhara jukwaani
 
Mmh!Sidhani kama kuna ukweli hapa,yaani uchaguzi wa Jimbo moja ukwamishe kufunguliwa kwa vyuo vikuu?Kwani mapato na matumizi ya serikali si yanafahamika na kuidhinishwa na wabunge wa vyama mbalimbali?Ungetaja chanzo cha kuaminika labda ungenishawishi!Sidhani kama nchi yetu imefikia hatua hiyo!!
 
wapingao waache wapinge lakini ukweli utabaki pale, hii itakuwa kama ya Zitto Kabwe na Mkulo, Zitto anasema serikali imefilisika, Mkulo anasema wana hela nyingi mpaka wanakosa cha kuzifanyia, baadaye inatangazwa kuwa ni kweli serikali haina hela
 
siamini taarifa hii.vyuo vyenyewe n vwili.mpaka muda huu kwa makumira na arusha unv.hawajapata taarifa yoyote ya kutofungua chuo mwez ujao.ratiba n ileile tumefuatilia leo
 
Back
Top Bottom