Huyu mzanzibari anainajisi TanganyikaWagombea wanazuiwa au kufungwa!!! halafu Tume ya CCM inagawa magari kwa wagombea Uraisi bure ! kama hongo pesa za walipa kodi wakati nchi yetu ni masikini kiasi hiki.
Huna akili kama lilivyo jina lako
We ndio sifuri kabisa, mwanaume mzima unatumika hovyo!Huna akili kama lilivyo jina lako
Ni utapeli tupu hakuna uchaguziUchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!! yaani uchaguzi ambao kwasasa kila mtanzania anajua hautakuwa wa huru na haki.
Wagombea wanazuiwa au kufungwa!!! halafu Tume ya CCM inagawa magari kwa wagombea Uraisi bure ! kama hongo pesa za walipa kodi wakati nchi yetu ni masikini kiasi hiki.
Imefika wakati tunatawaliwa na udikteta ambao hata haueleweki. Wenzetu nchi za udikteta hawapotezi muda kwenye maonyesho ya ajabu ajabu hivi.
Tupiganie uhuru na kuondokana na haya yote.
Ni ufisadi na uhujumu uchumiUchaguzi huu hauna maana. Ni kama kuna jambo linashinikizwa. Wananchi hawana nafasi tena ya kuamua mambo yao, nini maana na Uhuru sasa? Unachagua kipi dhidi ya kipi? Mshindani wako wa kweli yuko kando then what? Ingefanyika busara wale waliopita CMM wote wawe wabunge ili fedha za uchaguzi tuziallocate kwenye other expenditures kuliko kulazimisha changuzi hewa.
KhahahahhaaaUchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!! yaani uchaguzi ambao kwasasa kila mtanzania anajua hautakuwa wa huru na haki.