Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020: Sioni hoja za Magufuli na CCM kutushawishi Watanzania tuwachague tena!

Hehehehhe mtakuwa mmetumwa na mashetanisi bure..kama wazungu ndivyo wanavyowadanganya mmebugi men..! Hatudanganyiki..tafuteni wimbo mpya..!

Tupeni Hoja za msingi tuwaamini tena.Kwa kipi tutanufaika
 
Mbona mm sio mnufaikaji wa mfumo, kwa iyo kwa akili zako zoote ulotumia, mtu anaeendelea na life lake kama kawaida ni lazima awe mnufaikaji wa mfumo, haki nyumbu mna akili fupi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Subiria ndugu yako awekwe kwenye kiroba,au apigwe risasi, au abomolewe nyumba yake,,taadhari ni muhimu kabla ya Ajali.Huwezi elewa hadi yakufike.
 
Hakuna hoja hapo ndiyo maana mi ccm itaendelea kushinda sababu wafuasi wa vyama vikuu wamekua kama misukule na wewe ukiwa msukule namba moja. Ongezeni kuwapigia kampeni mitandaoni wanasiasa wanaopigania matumbo yao.
Mimi kama mwananchi nilitaka nisikie hoja na sio kejeli. Wapo tunaopenda kuwachagua wajenga hoja wazuri.
Samahani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahitaji kiongozi jasiri anayejiamini na mwenye uwezo wa kujenga na kujibu hoja ndani na nje kimataifa, anayesimama kama yeye asiyekamilishwa kwa vyombo vya dola,mwenye vision plan na direction ya kutuvusha,anayefanya mambo kwa mpangilio sie mvurugaji,anaechangamana na Makundi yote wawekezaji,wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, anaeuzika kimataifa, mwenye public speaking confidence anaeweza toa shule watu wakaa chini wakatikisa vichwa,mwenye kukubali kupokea mawazo mapya na sio statics, asiye katili,mwenye utu,utulivu wa akili,anaeweza kuvumilia ukinzani changamoto,Mchumi anaeujua uchumi,atakaefata utawala wa Sheria kwa mujibu wa katiba, asiye na double standard. Tza bado ina Hazina tele ya Watu kama debate na mchujo ukifanyika
 

Amina!
 
Hakuna hoja hapo ndiyo maana mi ccm itaendelea kushinda sababu wafuasi wa vyama vikuu wamekua kama misukule na wewe ukiwa msukule namba moja. Ongezeni kuwapigia kampeni mitandaoni wanasiasa wanaopigania matumbo yao.

Kama Jiwe na genge lake hawapiganii matumbo yao, si utuambie kwa sababu zipi Jiwe lichaguliwe tena 2020!
 
hivi huko upinzani mna hoja gani inayowabeba mpaka sasa; hoja yenu kuu ya ufisadi mlishaiua na muasisi wake kawakimbia kwa sasa yuko upande mwingine.
'Fisadi' karudi anakoeleweka vizuri zaidi; aka 'nyumbani?
Hasha! Mzee wa watu amerudi nyumbani anakoweza kuhuisha maslahi yake binafsi, na ameshangiliwa vilivyo na huko nyumbani yaonekana anaanza kutumika kama ilivyopangwa: "zile kura zaidi ya milioni 6 mumpe magufuli mnamo 2020". Mzee amepumzika hatimaye baada ya kujirdhisha kuwa maslahi yake binafsi na ambayo ndo ya msingi yako CCM; Kuwa upande wa upinzani ni mateso kabisa. Mzee apumzike kwa amani kabisa!
 
Subirini wakati wa kampeni ukifika..wananchi hatuna muda wa siasa saizi..mmeshatuibia sana tumechoka...kama hamna kazi mjini nendeni mkatafute mashamba mlime
CCM wanafanya nini majukwaani?Unazuia siasa kwa katiba ipi?kama unashindwa kuheshimu katiba unaweza kuheshimu hazina ukiwa umeweka watoto wa dada zako?
 
Kwa bahati mbaya sana watanzania tulio wengi ni wa sahaulifu sana. Mambo uliyoorodhesha hapo juu ni mambo ambayo hayatakiwi kusahaulika lakini nakuhakikishia kuwa hawa 'wanyonge' bado ni 'wadanganyika' sana na kwa udhaifu mkubwa ulioko kwa vyama vyetu vya upinzani, tutarajie upinzani mdogo na dhaifu sana dhidi ya magu na ccm yao!
 
RAIA wakipiga kura za kutosha ccm hawawezi kushinda wala kuchakachua.HV mfano chadema kapata kura milioni kumi ccm milioni 2 watachakachua nini.hakuna jeshi LA kuweza kugeuza matokeo.watu wasiogope wajitokeze kwa kishindo 2020.
 
Kiboko cha maisha kitawachapa wakae sawa,wa mjini hakuna kuwatumia pesa wa vijijini

Ndiyo mpango mzima! Unajua wengine mpaka mafunzo kwa vitendo ndiyo waelewe! Na kwa kweli siku hizi ukienda vijijini wameelewa somo mpaka unawahurumia tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…