Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,010
- 2,604
Na huu ndiyo ukweli na tabia ya chama tawala inavyowafanya wananchi ni wapumbavuHuhitaji kumshawishi mbuzi akubali kupelekwa kula majani. anabuluzwa tu! Hata alale chini, peleka tu! Baadaye atagundua sababu ya kubuluzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app