Uchaguzi 2015 na Hatima ya CCM

Uchaguzi 2015 na Hatima ya CCM

Ni ukweli watu hawajitumi kufanya kazi inavyotakiwa.na tatizo kubwa ni hao wanaoitwa wakuu wa idara hawajibiki ipasavyo na kansa hii ni hadi makatibu wakuu hakuna ufuatiliaji ni tofauti na makampuni binafsi jaribu kucheza na kazi usikie mziki wake.serikalini ni tofauti hili ndilo lishugulikiwe
 
Katika uchaguzi huu, nafikiri dhoruba CCM mtakuwa mmeliona na naamini pona pona yenu ni kwa kubebwa na Magufuli kwa kiwango kikubwa na makosa ya kimchezo yaliyofanywa na upinzani.

Hivyo, CCM inawabidi muangalie mbali zaidi. Baada ya uchaguzi huu CCM na Magufuli kijengeni chama chenu upya inatakiwa recruitment mpya ya vijana wasomi, wazalendo, wenye hali na upeo mpana zaidi. Hii Recuitment mpya yawapasa kuwafanyiai watanzania wasomi vijana walio ndani na nje ya nchi. Sasa niwakati wakukusanya nguvu na akili za watanzania wote wenye uwezo mahala popote walipo.

Ningewashauri mfanye hivi:
Baada ya uchaguzi, msikimbilie kuunda serikali, badala yake toeni matangazo muitishe CV na wafanyieni interview, physically ama kwa skype watanzania wote wazalendo wa ndani na wa nje. Na ili mtakapoanza kuteue watu katika nafasi mbali mbali, muwateue kwa vigezo halisi. Mkifanya hivi naamini na nafikiri mtarudisha imani kwa wananchi na vijana wasomi na wenye taifa hili.

Waambie wajenge chama sio serikali nani atawapigia kura hawa wapuuzi na wajinga waliofikia kikomo cha kutokufikiria?
 
Waambie wajenge chama sio serikali nani atawapigia kura hawa wapuuzi na wajinga waliofikia kikomo cha kutokufikiria?

Tatizo la Tanzania nafikiri linaanzia ktk uteuwaji, wanateuana kwa kuelewana ndio maana hawawajibiki. Magufuli inabidi alete mabadiliko ya kweli hizo kazi za ukatibu mkuu na idara zishindanishwe kwa CV zikiendana na interview. Vinginevyo atakwama tu. Watu wakati wa kazi unakuta yupo posta anatembea kwa kujinyonga, ama ofsni amekazana kuuza mayai ya KWARE ama anahudumia kuku wakati wa kazi.

Barabara inakuwa je zinakuwa na jam wakati wa kazi? Hii inamaana wafanyakazi wengi wanakuwa wamo barabarani wanapiga madili.
 
msubirie atakapo chaguliwa kuwa waziri wa barabara huko chato ndio uumpe mawazo hayo
 
Ni haki yako kabisa ya kikatiba.
Ila naamini wananchi walio wengi watampigia kura Magufuli, na atashinda. Ila mabadiliko ya kweli abadili jinsi ya kuwapata viongozi wa na mashirika ya serikali. Ni kweli kuteua hakuepukiki, lakini nafasi nyingi zaidi iwezekanavyo atoe nafasi kwa CV na waingie wapya wengi zaidi watanzania. Kubadili waliopo kwa ngazi nyingi hakutamsaidia ama kufeli kabisa.
Tatizo lilopo pamoja na ufisadi, lakini kubwa zaidi ni watanzania sisi wengi ni wavivu hatupigi kazi ipasavyo kutoka na mazingira hayo. Mda wa kazi utakuta mtu yupo posta na very slow. Mtu anakuwa kasi wakati wakupanda daladala na pantoni tu.

Ukitaka kufahamu hilo, nendeni hata kwenye ma bank ambayo pia ni private utakuta msululu mrefuuu watu wamepanga mstari, harafu cashier anaongea na simu.

Matatizo makubwa yaliyopo Tanzania ni Maradhi,Ujinga,Umaskini,na Rushwa suala ambalo CCM inahusika.Kwa kuirudisha Magufuli ni kuirudisha CCM ile ile ye miaka yote.Magufuli hawezi kamwe kuibadili CCM bali CCM itambadili na kumtuliza kabisa.
 
Tatizo la Tanzania nafikiri linaanzia ktk uteuwaji, wanateuana kwa kuelewana ndio maana hawawajibiki. Magufuli inabidi alete mabadiliko ya kweli hizo kazi za ukatibu mkuu na idara zishindanishwe kwa CV zikiendana na interview. Vinginevyo atakwama tu. Watu wakati wa kazi unakuta yupo posta anatembea kwa kujinyonga, ama ofsni amekazana kuuza mayai ya KWARE ama anahudumia kuku wakati wa kazi.

Barabara inakuwa je zinakuwa na jam wakati wa kazi? Hii inamaana wafanyakazi wengi wanakuwa wamo barabarani wanapiga madili.

Mna Moyo! Naona mmekuja kwa style mpya!
 
Back
Top Bottom