Uchaguzi 2015 na Hatima ya CCM

Uchaguzi 2015 na Hatima ya CCM

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,167
Reaction score
3,272
Katika uchaguzi huu, nafikiri dhoruba CCM mtakuwa mmeliona na naamini pona pona yenu ni kwa kubebwa na Magufuli kwa kiwango kikubwa na makosa ya kimchezo yaliyofanywa na upinzani.

Hivyo, CCM inawabidi muangalie mbali zaidi. Baada ya uchaguzi huu CCM na Magufuli kijengeni chama chenu upya inatakiwa recruitment mpya ya vijana wasomi, wazalendo, wenye hali na upeo mpana zaidi. Hii Recuitment mpya yawapasa kuwafanyiai watanzania wasomi vijana walio ndani na nje ya nchi. Sasa niwakati wakukusanya nguvu na akili za watanzania wote wenye uwezo mahala popote walipo.

Ningewashauri mfanye hivi:
Baada ya uchaguzi, msikimbilie kuunda serikali, badala yake toeni matangazo muitishe CV na wafanyieni interview, physically ama kwa skype watanzania wote wazalendo wa ndani na wa nje. Na ili mtakapoanza kuteue watu katika nafasi mbali mbali, muwateue kwa vigezo halisi. Mkifanya hivi naamini na nafikiri mtarudisha imani kwa wananchi na vijana wasomi na wenye taifa hili.
 
Unaota ndoto za mchana wewe!
 
Ni ndoto ya alasiri kushinda huu uchaguzi iwe kwa goli la nkono au vinginevo. Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko ccm kushinda uchaguzi huu,kwa mbeleko gani?
 
Katika uchaguzi huu, nafikiri dhoruba CCM mtakuwa mmeliona na naamini pona pona yenu ni kwa kubebwa na Magufuli kwa kiwango kikubwa na makosa ya kimchezo yaliyofanywa na upinzani.
Hivyo, CCM inawabidi muangalie mbali zaidi. Baada ya uchaguzi huu CCM na Magufuli kijengeni chama chenu upya inatakiwa recruitment mpya ya vijana wasomi, wazalendo, wenye hali na upeo mpana zaidi. Hii Recuitment mpya yawapasa kuwafanyiai watanzania wasomi vijana walio ndani na nje ya nchi. Sasa niwakati wakukusanya nguvu na akili za watanzania wote wenye uwezo mahala popote walipo.

Ningewashauri mfanye hivi:
Baada ya uchaguzi, msikimbilie kuunda serikali, badala yake toeni matangazo muitishe CV na wafanyieni interview, physically ama kwa skype watanzania wote wazalendo wa ndani na wa nje. Na ili mtakapoanza kuteue watu katika nafasi mbali mbali, muwateue kwa vigezo halisi. Mkifanya hivi naamini na nafikiri mtarudisha imani kwa wananchi na vijana wasomi na wenye taifa hili.

Nani ka kwambia ccm wanarudi madarakani?huo ushauri ungewapa ukawa
 
Unaota ndoto za mchana wewe!

Nafikiri na naamini, inabidi wafanye vetting mpya ya vijana. Na sio kuwahamisha makatibu wakuu, wakurungenzi nk, kutoka wizara moja hadi nyingine na mwisho ndo hayo ya akina Kigunge kuishi serikalini miaka zaidi 60 na anakili hakufanya kitu.

Magufuli fanya mabadiliko ya kweli utakapoingia ofsini. Makamba ametoa viaonjo vya kutosha ya kwamba wengi waliomo serikalini wameshindwa na ndio maana tumefika hapa tulipo. Magufuli, mabadiliko ya kweli yaanze na nafasi zakuteuana uiitishe maombi na interview baada ya interview ndo unateua watu kutokana na waliopita kwa kiwango cha kuridhisha kwenye interview.
 
wote tuseme ccm bye bye hawataiona tena ikulu
 
Mabadiliko ya kweli ni kuanza kuweka position zote watu kwa kutumia CV zao na uchapakazi wao. Hapo ndo mabadiliko yataanza kuonekana kwa uwazi zaidi na sio kuteua watu tu kwa vigezo finyu. Hili swala la kuteuana ndo limewaweka ndani akina Kigunge, Mwapachu, Sumaye, Lowasa, Masha nk. Watu hawa utendaji wao ni ulikuwa zero kwa maana hakuna kilichofanyika wakiwemo serikali. ama walikuwemo kwa sababu walikuwa wanapewa ulaji kumbe wakiamini kabisa hamna kitu kinachoendelea. Ili kupunguza hilo nafasi hizi nyingi ziombwe kwa CV.
 
Hawana maono hayo; hata wewe unajifariji baada ya ukweli kudhiri
 
Mkuu ukisema ccm watumie CV I bet zaidi ya 80% ya top layer wake watakwenda na maji na hicho ni kitu kisichowezekana kwa ccm. Computer ishaliwa na virus wakutosha, kubadilisha antivirus hakutasaidia. Cha msingi ni kubadilisha Windows tu. To a hiyo windows 61/64/77 weka Windows 7/8 or any of the latest itasaidia .
 
Ukweli Magufuli atashinda, na ni mchapakazi mzuri sana, lakini mabadiliko ya kweli abadili jinsi ya kuwapata watendaji wa serikali na mashirika yake. Huku ndiko kwenye kikwazo cha maendelo, sababu wanateuana kwa kupeana. Mfano mzuri ni TANESCO, pamoja na madhambi yote wizari lakini watendaji wa TANESCO ni wabovu. Huo ni mfano mmoja tu lakini karibu kila kitengo cha serikali kiko hivyo. Kenya mbona wana ukame zaidi ya Tanzania na wana umeme wa tu wa kutosha?

Magufuli mara utakapoingia tu, badilisha namna ya kuwapata watendaji, itisha CV kwa watanzania wote duniani. Lasivyo, itakuwia ngumu kweli kweli na ndio utakuwa mwisho wa CCM. Ukaharibu wewe tu term hii, basi tena CCM inapotea.
 
Inabidi watumie CV sasa hivi, wakitumia mazoea siku zao zitakuwa zinahesabika.
 
Ukweli Magufuli atashinda, na ni mchapakazi mzuri sana, lakini mabadiliko ya kweli abadili jinsi ya kuwapata watendaji wa serikali na mashirika yake. Huku ndiko kwenye kikwazo cha maendelo, sababu wanateuana kwa kupeana. Mfano mzuri ni TANESCO, pamoja na madhambi yote wizari lakini watendaji wa TANESCO ni wabovu. Huo ni mfano mmoja tu lakini karibu kila kitengo cha serikali kiko hivyo. Kenya mbona wana ukame zaidi ya Tanzania na wana umeme wa tu wa kutosha?

Magufuli mara utakapoingia tu, badilisha namna ya kuwapata watendaji, itisha CV kwa watanzania wote duniani. Lasivyo, itakuwia ngumu kweli kweli na ndio utakuwa mwisho wa CCM. Ukaharibu wewe tu term hii, basi tena CCM inapotea.

Bado na ndoto za alinacha. CCM ndiyo iliifanya serikali kuwa tawi la chama kwa hiyo ni CCM ndilo tatizo cha kushukuru inaondoka HUTAKI ACHA.

Mgufuli ni robot inayotumia remote. Na remote wanayo wenye CCM yao. Sikia CCM haipo mitaani ipo Masaki. Kama unataka maelezo ya kina uliza uambiwe. Zaidi jitahidi uwajue wenye CCM si magufuli yeye ni chambio tu.

UZURI 25 OCT 2025 CCM ndembe ndembe
 
Magufuli atashinda oct 25, na ili alete mabadiliko ya kweli ni lazima abadili jinsi ya kuwapata watenda kazi, yani atumie njia ya CV kwa nafasi za utendaji na washindanishwe ktk interview. Kila chama kinawenyewe, tumeona akina Slaa, Arfi, Zitto ,Wangwe nk. Kikubwa kwa vile CCM watashinda huu uchaguzi basi watumie njia sahihi badala ya kuteua watu wa mfano wa Sumaye na Kingunge.
 
Sawa endelea na CCM kushinda labda una vigezo tofauti
 
CCM ni gari bovu lililokata pumzi katikati ya kilima kikali na dereva akiwa amepoteza dira na mwelekeo na utingo anaweweseka kwa kupiga push up na kuongea lugha za kienyeji katika tatizo hili lisilohitaji push ups wala lugha gongana.Mimi nampiga kura yangu Edward Ngoyai Lowassa na Wabunge na madiwani wa UKAWA.
 
Mbona magufuli alishasema wale wote waliokatwa ccm watapewa ajira serikalini...
 
CCM ni gari bovu lililokata pumzi katikati ya kilima kikali na dereva akiwa amepoteza dira na mwelekeo na utingo anaweweseka kwa kupiga push up na kuongea lugha za kienyeji katika tatizo hili lisilohitaji push ups wala lugha gongana.Mimi nampiga kura yangu Edward Ngoyai Lowassa na Wabunge na madiwani wa UKAWA.

Ni haki yako kabisa ya kikatiba.
Ila naamini wananchi walio wengi watampigia kura Magufuli, na atashinda. Ila mabadiliko ya kweli abadili jinsi ya kuwapata viongozi wa na mashirika ya serikali. Ni kweli kuteua hakuepukiki, lakini nafasi nyingi zaidi iwezekanavyo atoe nafasi kwa CV na waingie wapya wengi zaidi watanzania. Kubadili waliopo kwa ngazi nyingi hakutamsaidia ama kufeli kabisa.
Tatizo lilopo pamoja na ufisadi, lakini kubwa zaidi ni watanzania sisi wengi ni wavivu hatupigi kazi ipasavyo kutoka na mazingira hayo. Mda wa kazi utakuta mtu yupo posta na very slow. Mtu anakuwa kasi wakati wakupanda daladala na pantoni tu.

Ukitaka kufahamu hilo, nendeni hata kwenye ma bank ambayo pia ni private utakuta msululu mrefuuu watu wamepanga mstari, harafu cashier anaongea na simu.
 
Back
Top Bottom