H Harrieth New Member Joined Feb 28, 2009 Posts 1 Reaction score 0 Oct 30, 2010 #1 Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda kuapishwa
Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda kuapishwa
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Oct 30, 2010 #2 Sijiandai hata kidogo, wala simsindikizi.
J Jafar JF-Expert Member Joined Nov 3, 2006 Posts 1,136 Reaction score 58 Oct 30, 2010 #3 Harrieth said: Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda Msoga Click to expand... ...... kumsindikiza kwenda Msoga .......
Harrieth said: Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda Msoga Click to expand... ...... kumsindikiza kwenda Msoga .......
M Msharika JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 947 Reaction score 71 Oct 30, 2010 #4 Huna haibu, Harrieth, Labda ukaibe kura. La sivyo jiunge nasi kumsindikiza shujaa, kiboko chao Dr halisi W.P.Silaa
Huna haibu, Harrieth, Labda ukaibe kura. La sivyo jiunge nasi kumsindikiza shujaa, kiboko chao Dr halisi W.P.Silaa
QUALITY JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 853 Reaction score 115 Oct 30, 2010 #5 Harrieth said: Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda kuapishwa Click to expand... Kwanini Kikwete na Siyo yule atakayechaguliwa na wananchi?:A S-baby:
Harrieth said: Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda kuapishwa Click to expand... Kwanini Kikwete na Siyo yule atakayechaguliwa na wananchi?:A S-baby:
Kaka Sam JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 540 Reaction score 80 Oct 30, 2010 #6 Taifa la Tanzania litaongozwa na Dr wa ukweli sio mafisadi tena, lazima tukubali mabadiliko. tumeichoka ccm
Taifa la Tanzania litaongozwa na Dr wa ukweli sio mafisadi tena, lazima tukubali mabadiliko. tumeichoka ccm
K Kidogo chetu JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,432 Reaction score 993 Oct 30, 2010 #7 Msharika said: Huna haibu, Harrieth, Labda ukaibe kura. La sivyo jiunge nasi kumsindikiza shujaa, kiboko chao Dr halisi W.P.Silaa View attachment 15956 Click to expand... mang'ati lake pori ikulu ataisikia tuu
Msharika said: Huna haibu, Harrieth, Labda ukaibe kura. La sivyo jiunge nasi kumsindikiza shujaa, kiboko chao Dr halisi W.P.Silaa View attachment 15956 Click to expand... mang'ati lake pori ikulu ataisikia tuu
M MWANALUGALI JF-Expert Member Joined Feb 1, 2010 Posts 601 Reaction score 34 Oct 30, 2010 #8 kikwete hafai kuwa rais wetu kwa vigezo vyovyote!! rais anakwenda hadharani akitafuna Big G!!!!!! mi nasema huyu si rais wangu tena kuanzia kesho nitakapo hamisha kura yangu kutoka ile niliyopiga 2005 na kumpigia Dk. Slaa
kikwete hafai kuwa rais wetu kwa vigezo vyovyote!! rais anakwenda hadharani akitafuna Big G!!!!!! mi nasema huyu si rais wangu tena kuanzia kesho nitakapo hamisha kura yangu kutoka ile niliyopiga 2005 na kumpigia Dk. Slaa
Avanti JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 1,209 Reaction score 240 Oct 30, 2010 #9 Harrieth said: Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda kuapishwa Click to expand... Napenda watu wakweli. Wasiokubali ukweli angalia majibu yao. Ila uhalisia ndiyo huo. Na tunmwomba JK asiwe na kinyongo na wapinzani wake.
Harrieth said: Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda kuapishwa Click to expand... Napenda watu wakweli. Wasiokubali ukweli angalia majibu yao. Ila uhalisia ndiyo huo. Na tunmwomba JK asiwe na kinyongo na wapinzani wake.
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 18,054 Reaction score 25,105 Oct 30, 2010 #10 Nimeshatua mjini. Bado nina uchovu wa kusumbuliwa njiani hapo uarabuni, ila kesho kura yangu ndani ya sanduku. JK safari njema, karibu WPS(PhD)
Nimeshatua mjini. Bado nina uchovu wa kusumbuliwa njiani hapo uarabuni, ila kesho kura yangu ndani ya sanduku. JK safari njema, karibu WPS(PhD)