Uchaguzi 2010:tumejifunza nini?

Mpelijr

Member
Joined
May 17, 2010
Posts
89
Reaction score
11
Jana kuna rafiki yangu aliniuliza swali dogo nikatumia muda mrefu kulijibu huku nikitoa maelezo meeengi ..naomba tu share majibu yetu jamani.....swali ni hivi uchaguzi wa 2010 tumejifunza kitu gani kipya ambacho ni positive kwenye development?​
 
Watanzania bara sasa wana anza kuamka toka usingizini. Visiwani wali inuka lakini wakapewa nusu kaputi wakarudi usingizini hadi 2020!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…