Uchafu wa wilaya ya Kinondoni baada ya mvua

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Kijana huyu anaonekana akitupa taka katika mtaro wa maji wakati mvua inanyesha ili uchafu uende na maji kwa watu wa huku kwetu uswahili ni jambo la kawaida lakini litazaa matatizo badae kwa magonjwa Naomba wanakinondoni tubadilike...
1458718955527.jpg
1458719086201.jpg
 
Back
Top Bottom