Uchafu wa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu Ndg. Ombeni Sefue

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
scandal+pic.jpg


Wiki imepita na kwa kweli ninapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa Jamiiforums na hasa Max kwa kutuwekea hii kitu while he's paying the price ili sisi tupate platform ya kujadili issues bila woga. Kwa kuwa Jamiimedia imefungua kesi ya uhuru wa vyombo vya habari naomba sana muweke links za kuchangia ili tuendelee na hiyo kesi ambayo itatusaidia sote.

Baada ya kusema hayo. Nimeshikwa na butwaa kuhusu yanayosemwa kuhusu Katibu Mkuu kiongozi Ombeni Sefue ambaye:


1. Ametajwa na kutuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya Ukabila kwani anahusika kushinikiza kazi zitolewe kwa watu wa kabila lake la waPare.

2. Ametuhumiwa kuhusika kwenye kashfa na kampuni ya wa China ya Ujenzi ya CRJE

3. Sefue anatuhimiwa kuwa ndiye mhusika mkuu wa kwenye uvurandaji wa MSD

5. Alipokuwa balozi wa Tanzania kule Washington DC, Marekani alikuwa kinara wa kutetea afisa Ubalozi (Alan Mzengi) ambaye alihukumiwa na mahakama ya Marekani kwenye kesi ya kumfanya mfanyakazi wao wa ndani (Zipora Mazengo)waliyemtoa Tanzania kuwa MTUMWA wao. Ikumbukwe kuwa Serikali ya Tanzania ilitia sahihi mikataba mbali mbali ya:

a) Kulinda haki za binadamu
b) Kulinda haki za wafanyakazi
c) Kupiga marufuku utumwa

Sasa huyu huyu sefue kwenye kesi ya binti wa Kitanzania aliyefanywa mtumwa na afisa wa Ubalozi, Katibu mkuu kiongozi aliamua kuchukua upande wa dhulma

Mwenye kutaka kusoma zaidi hii kesi asome hii WIKILEAKS Cable:

Cable: 10STATE7269_a

Siamini kuwa Sefue alikuwa akifanya yote hayo kwa sababu alikuwa anatetea maslahi ya nchi ya Tanzania hata kidogo na hasa pale alipokataa katakata huyo binti aliyefanywa mtumwa asilipwe fidia.

Zaidi soma aliyokuwa anayasema balozi wa Marekani Tanzania (Mark Green) juu ya Ombeni sefue:


US embassy cable - 07DARESSALAAM1539


Kwa wanaomjua sefue wanasema alibebwa na Rais Mkapa alakini Mzee Mkapa naye kashamchoka na haya ma kashfa na jinsi alivyo kuwa tainted na hizi kashfa is he really the right person kuwa katibu mkuu kiongozi wa rais msafi na mwenye uruma kama Dr. John Pombe Magufuli?

Na pia ilikuwaje mpaka a mere speech writer ambaye hajawahi kuwa katibu mkuu kokote kuwa kupaishwa mpaka akawa mkubwa wa makatibu wakuu wote nchi hii?

Sasa swali kwa wana Jamiiforums, Who is the real Ombeni sefue ambaye ndiye Katibu mkuu kiongozi wa Rais Magufuli?


UPDATES:


Tusisahau kuwa pia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa kwanza kufukuzwa kazi

The previous ones are

1. Dickson Nkembo
2. Timothy Apiyo
3. Paul Rupa
4. Materns Lumbanga
5. Philemon Luhanjo
6. Ombeni Sefue

He is the only one who left in DISGRACE



MORE UPDATES




3b076591-2f5d-4fbe-8a3f-9b5dab88afd2-jpg.326353




Huu mwaka naona mpaka ma SNITCH kama huyu Sefue nao wanatumbuliwa

Sasa naamini kuwa itafika point Magu atabaki peke yake na bi Samia Suluku na MKM


Mimi bado naendelea na uchunguzi wangu lakini naona gazeti la DIRA leo limeniwahi. Naona leo huku kwetu Temeke gazeti litauzwa kama njugu vile

mod edit
 

Attachments

  • 3b076591-2f5d-4fbe-8a3f-9b5dab88afd2.jpg
    3b076591-2f5d-4fbe-8a3f-9b5dab88afd2.jpg
    90.7 KB · Views: 685
Huyu ndio alikuwa ana edit majina ya watu wa kutumbuliwa naona sasa kilichobaki ni kuomba Godfather wake Mzee Mkapa amuombee tuu maana hakuna namna

Mwenzao Jakaya kashaamua kuhama na nchi yeneyewe kabisaa

Huyu magu akimaliza na watu wa serikalini naona atahamia kwa ndugu kisha wananchi wa kawaida

Hii kuliko Sokoine
 
Huyu ndio alikuwa ana edit majina ya watu wa kutumbuliwa naona sasa kilichobaki ni kuomba Godfather wake Mzee Mkapa amuombee tuu maana hakuna namna

Mwenzao Jakaya kashaamua kuhama na nchi yeneyewe kabisaa

Huyu magu akimaliza na watu wa serikalini naona atahamia kwa ndugu kisha wananchi wa kawaida

Hii kuliko Sokoine

Prof Msoga kahamia wapi?
 
Prof Msoga kahamia wapi?
Msoga mtoto wa mjini na sasa naaanza kumheshim

Mwaka mmoja kabla akishaanza ku lobby vijikazi nje ya nchi kwa akina Ban Ki Moon na Nkososana Zuma
Unaambiwa hakai hapa Dar zaidi ya 48 hrs

Hata magu kumpa u VC UD ilikuwa kumweka on the ground awe anapatikana lakini wapiii jamaa lilisha lobby kwa akina RAJIV SHAH wa USAID apewe hata ubalozi wa mamabo ya humanitarian ili asiwepo tuu minazi mirefu

Mwishowe naona kala bingo kwa AU na watu wa GAVI

Huyo ndio muungwana. Nyie mnahanaikana na Analogue yeye yuko kwenye 5G
 
Back
Top Bottom