Uchafu na wanawake!

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,316
Salaam,

katika jiji la dsm uchafu mkubwa ni mifuko ya plastiki!
lakini kuna uchafu mwingine ambao naona kama unawavunjia wanawake heshima!
zile pedi zilizotumika kwa nn zinatapakaa kama mifuko ya plastiki?
kwann hamzichomi moto badala ya kuzitupa ovyo?

Au hazishiki moto!

MBAYA!
 
aiseeee babayangu umesema vema ikitoka hiyo mikate uchafu mwingie ni zile pampas hata sijui kwanini huo wanazitupa hovyo
 

Unaziita uchafu? Ngoja aje yule ambaye siku moja alinigombeza kwa kuita hiyo makitu uchafu.
 
Nahisi utakuwa unaishi uswazi sana mkuu...maana huko ndio hizo bidhaa zinazagaa hovyo hovyo
 
Nahisi utakuwa unaishi uswazi sana mkuu...maana huko ndio hizo bidhaa zinazagaa hovyo hovyo

Uswazi sana ndo wapi? Maana kama Uswazi ni kwa watu hohehahe basi karibu Dar nzima ni Uswazi.
 
ulijuaje mkuu kama sio ufukununu maana huwa wazificha kama nini mkuu..
 
Nyumba nyingi siku hizi zina uzio sio kama zamani nyumba ikiwa na uzio unaonekana tajiri...walau watu wenye mfumo huu wa maisha huwa wana namna nzuri ya kuhifadhi uchafu.

Lakini kuna zile sehemu hapa Dar ambazo miaka nenda rudi namna yao ya maisha haijabadilika...huko ndio nilipopalenga

Uswazi sana ndo wapi? Maana kama Uswazi ni kwa watu hohehahe basi karibu Dar nzima ni Uswazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…