kuhanda kawili
Senior Member
- Sep 19, 2014
- 164
- 33
Shibanibakishie
Ndio nini?? Mbona sikuelewi.
Karibu basi jamvini.
Nipo ndugu za siku? Naona unatuwakilisha vyema katika jukwaa letu hili, mimi nimekuwa mvivu siku hizi hahahaaaah...Upo jirani yangu Lyamba lya Mfipa?