Ubuyu wa Zanzibar unapatikana

Ubuyu wa Zanzibar unapatikana

keytte

Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
21
Reaction score
4
Habari wanajamii,

Nauza ubuyu Wa Zanzibar, 1000 kwa packet Moja. Nipo Dar es salaam.
Kwa mawasiliano piga 0685091891. Tupo tayari kukusikiliza na kukuhudumia mteja wetu.

Karibuni sana
 
duuuh......hivi wanaume wanakulaga
ngoja nimtag huyu hapa
@.....
 
keytte

Safi sana.

Tena nakushauri, nje ya Tanzania una soko zuri sana, anza kusafirisha kwenda Kenya na Burundi kisha hamia Dubai, UK, India na USA.

Soko lake kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
habari wanajamii....
nauza ubuyu Wa Zanzibar, 1000 kwa packet Moja. nipo dar... kwa mawasiliano piga 0685091891. tupo tayari kukusikiliza na kukuhudumia mteja wetu... karibuni sana.

Elfu 1 tu? Ule wenyewe wa babu issa?
 
Safi sana.

Tena nakushauri, nje ya Tanzania una soko zuri sana, anza kusafirisha kwenda Kenya na Burundi kisha hamia Dubai, UK, India na USA.

Soko lake kubwa sana.
Akiweza kufanya packaging nzuri anaweza kupenya kwenye soko la nje.Tatizo urasim wa Vibali ndio issue.
 
Akiweza kufanya packaging nzuri anaweza kupenya kwenye soko la nje.Tatizo urasim wa Vibali ndio issue.

Hakuna kibali chochote kinachohitajika kusafiriha ubuyu nje, kuna kanuni tu za usafirishaji za kufatwa hususan za huko unakoupeleka inabidi uzifate kabla hujasafirisha.

Nawashauri muwe mnatumia watu wenye kazi zao kuliko kutaka kufanya kila kitu wenyewe, amuone clearing agent mwenye uzoefu wa ku export atamueleza yanayohusu usafirishaji wa ubuyu.
 
asanteni sana kwa ushauri wenu wanajamiii forum. nashukuru sana. ubuyu unaliwa na watu Wa Jinsia zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom