mwerevu mwenye busara Senior Member Oct 23, 2016 144 91 Nov 27, 2016 #1 Tunauza ubuyu safi na mtamu wenye tangawizi kwa bei nafuu kabisa kuanzia sh.500 kwa pakt. Tunafanya delivery kwa wateja wa jumla
Tunauza ubuyu safi na mtamu wenye tangawizi kwa bei nafuu kabisa kuanzia sh.500 kwa pakt. Tunafanya delivery kwa wateja wa jumla
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,614 67,078 Nov 27, 2016 #2 Daah! Nikajua Mambo ya SHILAWADU nimekuja kasi kweli kweli Kila kheri kwenye biashara yako bhana
Papizo JF-Expert Member Feb 24, 2008 4,944 1,431 Nov 29, 2016 #3 Unapatikana wapi kwa dar??maana.hapo hujaweka number ya simu wala location ulipo....
mwerevu mwenye busara Senior Member Oct 23, 2016 144 91 Nov 30, 2016 Thread starter #4 Nipo tandika sokoni au ni pm kutoa oda