Ubuyu wa vinto wenye tangawizi jumla na rejareja

mwerevu mwenye busara

Senior Member
Oct 23, 2016
144
91
Tunauza ubuyu safi na mtamu wenye tangawizi kwa bei nafuu kabisa kuanzia sh.500 kwa pakt.
Tunafanya delivery kwa wateja wa jumla
1480234655257.png
1480234674642.png
 
Daah!
Nikajua Mambo ya SHILAWADU nimekuja kasi kweli kweli


Kila kheri kwenye biashara yako bhana
 
Unapatikana wapi kwa dar??maana.hapo hujaweka number ya simu wala location ulipo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom