Ubuyu mweupe kwa jumla

Ubuyu mweupe kwa jumla

hatedthemost

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
470
Reaction score
328
Habari wana JF naulizia anaeuza ubuyu mweupe kwa jumla kuanzia debe.
Pamoja na unga wa ubuyu.
Asanteni
 
Nenda kwa Kachube, yupo Magomeni Makuti mtaa wa Somanga
 
Nenda Dodoma soko la Majengo unapatikana kwa wingi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom