Ubuyu. Kumbe behaviorist ndiyo kamuondoa miss natafuta jf

Ooo my sweetheart nimekusaka kila kona ulikuwa umefichwa wapi mumeo Nina wivu
Baby mi pia nna moyo ujue..yani na mvua zote hizi umeamua kutoka na kapeace sijui mkapotelea wapi!alafu sa ivi unanambia nimepotelea wapi?haya bana..

Ukimuona kapeace mwambie mimi na Mwifwa tumemmiss
 
Unaonaje tuwaache na kapeace maana sio kwa kutufanyia hivyo
 
Baby mi pia nna moyo ujue..yani na mvua zote hizi umeamua kutoka na kapeace sijui mkapotelea wapi!alafu sa ivi unanambia nimepotelea wapi?haya bana..

Ukimuona kapeace mwambie mimi na Mwifwa tumemmiss
Kapeace anakusalimu amesema hatoki hadi ndoa ijibu eti ili nikusahau kidogo
 
Back
Top Bottom