Ubuyu. Kumbe behaviorist ndiyo kamuondoa miss natafuta jf

Ubuyu Wa motomoto ile aga ya miss natafuta kumbe yule jamaa Wa vyura behaviorist ndio kampiga block

Eti inasemekana miss kapewa sharti kama anataka ndoa bhasi abanduke jf

Eti behaviorist baada ya kushuhudia mzigo Wa miss hataki kusikia lijamaa likiomba mzigo huo

Yote haya ni tetesi tu zinazo trend majukwaani
Shulawadu siwataki kwa umbea
 
Back
Top Bottom