Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,793
- 284,880
Nani kasema uingereza ?Sasa nilijua hiyo timu ya spain imecheza na timu ya Uingereza!!
Kumbe maneno!!
Kama umeipinga Ligi ya spainNani kasema uingereza ?
Kama haujui kaka ,ligi ya england ni ligi maarufu na lig ya spain ni ligi boraaEPL ndio ligi bora kwa kuwa ina ushindani.
Naongelea ushindani, wana giants clubs kama madrid na barcelona so hiyo ndio advantage yao, ukisema hata ufaransa watakuwa ligi bora kwani wana PSG, au German watakuwa ligi bora kwani wana Bayern Munich.Kama haujui kaka ,ligi ya england ni ligi maarufu na lig ya spain ni ligi boraa
Nikupe mtihani kidogo. Katika ligi ya england wakae kikao timu zote 20 na waseme katika sisi timu 20 tuchague club bora kati ya hizo 20 na ikacheze na barcelona au real madrid timu gan yenye uhakika england itaaminiwa kwa ubora zaid
Ligi ya ushindani bora ni englandNaongelea ushindani, wana giants clubs kama madrid na barcelona so hiyo ndio advantage yao, ukisema hata ufaransa watakuwa ligi bora kwani wana PSG, au German watakuwa ligi bora kwani wana Bayern Munich.
Kuwa na two giants hakumaanishi ndio ligo bora.
Pia
Chelsea huwa ana mfunga barcelona sana tu
Kweli na wewe haujui kuelewa kabisa yaan unalinganisha kwa mtindo huo duuuu kajifunze upyaa kakaHahahaa Wamepigwa nne wakat hao psg wameshindwa kumfunga Arsenal Na monaco aliwapa 3 - 0 Na mechi ya pili wakasuluhuuu Huwez kuwa na Messi neymar suarez iniesta halaf usipate hata goli 1 kweli www ni Mmmbovuuu !!
Ligi ya ushindani bora ni england
Ligi boraa na kuwa na timu bora ni spain
Ligi maarufu ni england
Nimesema lig yenye ushindani na maarufu ni englandKwa hiyo engalnd 2-1 Spain
Hivo EPL ni bora zaid
Hapo nimetumia data zako mwenyewe
we mwenyeo utakuwa kilaza. PSG timu kubwa kakwambia nani? kwa sababu ya mapesa ndio unasema timu kubwa? basi kama ni ivo china sasa kuna timu kubwa basi nako. Timu kubwa inapimwa kwa mafanikio sio pesa zao. mimi ni mhasimu wa arsenal lakini huwezi kufanananisha PSG na Arsenal wewe. Arsenal ipo juu ya PSG sana tu. Yaani fluke ya kumfunga barca izo nne ndio PSG ishakuwa timu kubwa? Duh! Yaani zinapotajwa timu kubwa duniani ni hizi Barca, Real Madrid, Manutd, Chelsea, Arsenal, Liverpool..... ata man city haimo! PSG is looking for attention kama zilivo timu za china na USA, bahati mbaya hawaipati.... mana outside UEFA no one wastes their time with french teams!Huyu mtoa mada kweli ni kilaza kabisa kwenye mpiraa ,PSG unawaona ni vibonde wewe na wachezaji wa psg class yao unaweza kulinganisha na wa arsenall
Kweli haufuatilii mpira wewe club ya psg ni kubwa sana na wao wamewekeza sana kusajili wachezaji wakubwaa
Yaan wewe hapo unaweka majina yaliyokosa mwelekeo unasema timu kubwaa yaana unaiweka arsenal mpaka sasa kapigwa 3:1 na bayern na unamsahau bayernwe mwenyeo utakuwa kilaza. PSG timu kubwa kakwambia nani? kwa sababu ya mapesa ndio unasema timu kubwa? basi kama ni ivo china sasa kuna timu kubwa basi nako. Timu kubwa inapimwa kwa mafanikio sio pesa zao. mimi ni mhasimu wa arsenal lakini huwezi kufanananisha PSG na Arsenal wewe. Arsenal ipo juu ya PSG sana tu. Yaani fluke ya kumfunga barca izo nne ndio PSG ishakuwa timu kubwa? Duh! Yaani zinapotajwa timu kubwa duniani ni hizi Barca, Real Madrid, Manutd, Chelsea, Arsenal, Liverpool..... ata man city haimo! PSG is looking for attention kama zilivo timu za china na USA, bahati mbaya hawaipati.... mana outside UEFA no one wastes their time with french teams!
EPL ina ushindani gani wakati hadi ka Leicester kamekua bingwa, yani eti mchovu wa kushuka daraja anakua bingwa.......ubora wenu uleteni UEFA au Europa basi tuuoneLigi ya ushindani bora ni england
Ligi boraa na kuwa na timu bora ni spain
Ligi maarufu ni england
Nimesema lig yenye ushindani na maarufu ni england
Ushindani Kwa maana kwamba england yeyote mech haitabiriki ni kwamba yeyote anashindaa
Na umaarufu ni kwamba inafuatiliwa na wengi sanaa
Spain ni ligi bora kwamaana kwamba club zao ni club bora ambazo hata zikienda kucheza mashindano makubwa zinatoa ushindani mkubwaa na kuwa ni bora mfano ni europa zinaweza kuingia timu 3 nusu fainali na uefa piaa zinaweza kuingia club 3 nusu fainali na biaa wachezaji bora wapo spain
We kweli poyoyo na pimbi tu, Liverpool? Bayern Munich je? Juventus je? Shida mpira hamjui na mmeanza kushabikia mpira juzi juzi tuwe mwenyeo utakuwa kilaza. PSG timu kubwa kakwambia nani? kwa sababu ya mapesa ndio unasema timu kubwa? basi kama ni ivo china sasa kuna timu kubwa basi nako. Timu kubwa inapimwa kwa mafanikio sio pesa zao. mimi ni mhasimu wa arsenal lakini huwezi kufanananisha PSG na Arsenal wewe. Arsenal ipo juu ya PSG sana tu. Yaani fluke ya kumfunga barca izo nne ndio PSG ishakuwa timu kubwa? Duh! Yaani zinapotajwa timu kubwa duniani ni hizi Barca, Real Madrid, Manutd, Chelsea, Arsenal, Liverpool..... ata man city haimo! PSG is looking for attention kama zilivo timu za china na USA, bahati mbaya hawaipati.... mana outside UEFA no one wastes their time with french teams!