Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,195
- 690
Wataalamu wanasema kuwa, nguzo ya kwanza ya malavidavi ni mawasiliano.Ukiona mpenzi cku mbili zinakata hata salamu hakuna jua penzi linapwaya.Wherever love exists communication is taking over.Nisiwakatishe tamaa ila wanasema ukitaka kum- mwaga mupenzi unatakiwa ufanye mazoezi ya kupunguza mawasiliano kidogo kidogo,Mwisho unapotea moja kwa moja.ANGALIZO: Usibadili namba ya cmu utajenga uhasama.MTOA MADA NINA MASHAKA UMEPIGWA KIBUTI.