Ubuntu

Mkuu shukrani nimetumia Extfs Explorer na nimefanikiwa.

Huo utundu mwingine wa kuweka patrition 3 ngoja kwanza nizoe zoe kidogo.

vipi kuhusu modem haina ujanja?

modeminawezekana mie natumia ubuntu 10.04 na ninaweka line yoyote ile bila kuichakachua modem(voda)

Ohhh soory mtaaalam unajua tena mwaga shule zaidi tuelimike . wengine tunakubali kujifunza kutokana na makosa .

• Kumbe ubuntu haiiitaji drivers kwa jili ya modem? Sasa Ubuntu inatofautishaje kati ya USB stoarge disk na USB modem?
• Ina maana Ubuntu 10.10 inakuja packed na drivers zote za modem no matter brand na model utayotumia au ni kwamba Ubuntu 10.04 haitumii modem drivers kabisa? Au kuna Universal modem drivers ndani ya Ubuntu?

Je mtaaalam aliyetoa haya maelezo naye kakosea au nayo hii sio prcess ya kuinstall drivers
http://ubuntuforums.org/showthread.php?t=1652668

Happy to learn from your experince ndio maana tunakuja hapa. Mkuu
hahahaaa mkuu mtazamaji, thanks God now you are coming! nilitaka utoe maelekezo zaidi, usibanie watu maujuzi ya teknolojia mkuu!! tuko pamoja kiongozi!

Jimbi please lugha zako za kukatisha tamaa hatuzitaki huku! Kama mtu kakosea si useme kwa utaratibu?
Jifunze lugha za jukwaa husika ili usichanganye mambo!
tuko pamoja mkuu! kama knowledge yako siyo ya madesa hakuna sababu ya kuogopa challenge mkuu, teh teh teh

• Thanks
Reactions: HT
hahahaaa mkuu mtazamaji, thanks God now you are coming! nilitaka utoe maelekezo zaidi, usibanie watu maujuzi ya teknolojia mkuu!! tuko pamoja kiongozi!

Hahahhaa Jimbi unajua sometime inabidi kuwa katika student mode tu . so ukichangia kidogo then unauchuna kujifunza kutoka kwa wokongwe na wataalam wa fani wengine.

Aksante kwa challenge mkuu tuendelee...... Hope mweye tatiza akifanikiwa naye atatatujuza alifanya nini tuweke kwenye kumbu kumbu zetu.

Wakuu thanx a lot kwa michango yenu kuhakikisha natatua tatizo hili.
Kwa bahati mbaya lapy yangu imecrash toka siku nimepost hivyo nasubiri nitulie nitafute cd ya win 7 niiweke sawa then i will be back for feed back.
Thanx again tupo pamoja
poa kaka, and next time usifanye installation ya ubuntu alongside windows ka its not a good choice. Itengee ubuntu kama 15gb zitatosha.

modeminawezekana mie natumia ubuntu 10.04 na ninaweka line yoyote ile bila kuichakachua modem(voda)
Mkuu kweli ubuntu ipo powa, hatimaye nimeweza kutumia modem yangu ya vodafone k3570-z kwa ubuntu 11.04 bila kuichakachua.
Nimedelete account iliyokuwepo na nikafungua mpya iliyokuwa detected na os nikafuata simple prompt, nasasa natumia airtel kama kawa

Back
Top Bottom