Ubuntu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubuntu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul S.S, Jun 20, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wadau nimeistall ubuntu 11.04 alongside windows 7, yaani siafanya patrition nimeinstall ubuntu ndani ya windows..imekubali na inaboot fresh nikiichagua wakati wa boot
  naomba nisaidiwe namna ya kuinstall modem yangu ya sasatel ili niwe connected

  NB
  Nimearibu kuangalia ubuntu itakuwa insatalled wapi sijaiona kabisa, wakati ilisomeka ininstall c
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani unatakiwa ku google jisni ya uinstall driver za modem kwenye ubuntu. lakini itakuw rahisi ukijuia hiyo modem ya sasa tel ni model au brand gani. Maana hapo unaposema modem ya sasatel ni sawa kuulizia tairi ya toyota.

  Alfu tatizo lingine unaweza kuumbana nalo kwa kuwa hiyo Ubuntu ni latest inaweza kuwa kazi kidogo kupata drives zote. lakini kama uko hungry kujifunza usitooe komaaa nayo hivyo hivyo. Ukifanya via the hard way utajua mengi

  Iweke kwenye book mark hii link Ubuntu Forums itakupa guide ya kutatua matatizo mengi. Othewrise taja model ya hiyo modem ya sasa tel tutafute malekezo yake sahihi

  Dont be suprised kama utahitajika kuinstall kwa command na sio kwa ku clik next next kama kwenye windows. Just drop hiyo model ya modem
   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yeah mkuu ninamatumaini ni njia rahisi 2 kama unataka i function coz nakumbuka fresh nilishawah set up modem ya vodafone and zantel fasta 2 bila shida and no need of software kwanza cha maana kujua ni dialing number like *99# sasa ya sasatel ni ipi and also user name kama ni lazima kuweka then ukishayajua haya hakikisha imekuwa detected coz mara ya kwanza inasumbua kdogo so jaribu kuchomoa na kuchomeka mpaka finally utaona imekuwa detected na inaonekana kwny my computer then angalia kulia juu kwny taskbar kuna icon ya network right click na utaona kuna a new connection lakini needed kuwa configured ifungue iyo kitu then chagua iyo modem itakuwa imelistiwa apo kama imekuwa detected then next apo utachagua Tanzania but pia utaona iyo service provide SASATEL aipo it doesnt matter just iandike kuna option ya kuandika apo then next apo utajaza re queried fileds kama iyo dialing number na pia sasa apa lazima uweka user name and password kama sasatel haina then andika yoyote lakini lazima ijazwe then save and ok..... sasa uki click apo kwny network icon utaona iyo SASATEL uliotegeneza na chini yake kuna option ya kuconnect and connect itachugua sekunda kadha and itakuwa connected... ANGALIZO inaweza ikawa tofauti na maelezo yangu lakini kama nime elezea kadri ninavyo kumbuka and pia sikutest za SASATEL but zantel na vodafone ilikubal hii jia na hii ndo jia simple ya kukonnect kwa sasa mpaka badae labda ukipata software nzuri zaidi ya kukonnect kwa kama feauters za kucall na kurecharge... ni hayo 2 i was just trying to HELP.... HOPE IT WORKS
   
 4. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  ni rahisi tu taja model number and everything will be like charm!!!

  tunakusubili wewe sasa usituangushe tatizo lako ni tatizo la JF nzima

  so tupe hilo tatizo. fahamu kuwa modem nying zakubali ubuntu!!

  dont make us wait for long mkuu
   
 5. daudilouis

  daudilouis Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Go to edit connections, then mobile broadband click on add connections or just add,and a dialogue box will appear,click forward and select Tanzania then forward again and select sasatel,then click forward again and apply.Now plug-in your modem go to connections and click sasatel default,and start enjoying.
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wakuu thanx a lot kwa michango yenu kuhakikisha natatua tatizo hili.
  Kwa bahati mbaya lapy yangu imecrash toka siku nimepost hivyo nasubiri nitulie nitafute cd ya win 7 niiweke sawa then i will be back for feed back.
  Thanx again tupo pamoja
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Pole sana kamanda . Ukiona unachokonoa pc/ laptop inaaanza ku crash jua ndo unalekea kuwa mtaalam hivyo.

  Good luck
   
 8. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wadau mini ninatumia ubuntu 9.10 nimefuata hizo procedures ila sehemu ya nchi TANZANIA haipo kwenye list na mimi ntumia ttcl. Please advise. Thanks
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Naam wadau nimeirudisha Ubuntu 11.04 na sasa inapiga mzigo fresh kabisa na ina connect uzuri kabisa na modem ya Vodafone K3570-Z.
  Modem hii kwa Windows 7 kuibadilishia dash board kwa mitandao mingine ipo powa lakini kwa Ubuntu naona giza, maana nikiweka sim card ya Tigo au Airtel inagoma, is that means hakuna machakachuzi kwa ubuntu?.
   
 10. P

  Paul S.S Verified User

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wakuu wajuvi wa linux mpo wapi?
  Nimejaribu ku google bila mafanikio, nawezaje kuona na ku access mafaili ya ubuntu kwenye windows 7? kuna mp3 nimedownlod nataka kuplay ktk windows..
  Nikiwa kwenye ubuntu mafaili ya windows nayapata bila shida
   
 11. HT

  HT JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Paul,
  by default Linux hutumia partition format tofauti na windows. Kwa hiyo huwezi ku access Linux part. Ktk windoze. njia rahisi ni kuwa na partition tatu. Moja for windows system, ya pili Linux ya tatu kwa ajili ya data storage. Sasa hiyo ya data inakuwa formatted ktk NTFS ambayo both Linux na Windoze zinaweza ku access na data zinakuwa centralized
  kama bado unataka ibaki ilivyo kuna kitu inaitwa extfs explorer lakini ina soma tu ukitaka kulitumia faili inabidi ulinakili ktk partition nyingine
   
 12. HT

  HT JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Connect kwenye internet ya uhakika au data card iliyo na at least 2GB then alt+F2 kikija kile kibox andika
  sudo update-manager upgrade -d
  baada ya ku upgrade fuata procedure hapo juu
   
 13. HT

  HT JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  BTW Ubuntu 8.04 LTS na 9.10 are no longer sipported by Cannonical
   
 14. P

  Paul S.S Verified User

  #14
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu shukrani nimetumia Extfs Explorer na nimefanikiwa.
  Huo utundu mwingine wa kuweka patrition 3 ngoja kwanza nizoe zoe kidogo.
  vipi kuhusu modem haina ujanja?
   
 15. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  yap, haya ndiyo maelekezo sahihi anayopaswa kupewa!
   
 16. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  wacha kupotosha wewe! nani alikwambia ubuntu 10.10 and above zinahitaji u-install drivers kwaajili ya modems? mambo mengine kama haufahamu jaribu kukaa kimya tu kijana!!
   
 17. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hivi ninyi mkoje? we sharobalo umeisha wahi kutumia ubuntu 10.10 na 11.04?
   
 18. HT

  HT JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jimbi please lugha zako za kukatisha tamaa hatuzitaki huku! Kama mtu kakosea si useme kwa utaratibu?
  Jifunze lugha za jukwaa husika ili usichanganye mambo!
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ohhh soory mtaaalam unajua tena mwaga shule zaidi tuelimike . wengine tunakubali kujifunza kutokana na makosa .

  • Kumbe ubuntu haiiitaji drivers kwa jili ya modem? Sasa Ubuntu inatofautishaje kati ya USB stoarge disk na USB modem?
  • Ina maana Ubuntu 10.10 inakuja packed na drivers zote za modem no matter brand na model utayotumia au ni kwamba Ubuntu 10.04 haitumii modem drivers kabisa? Au kuna Universal modem drivers ndani ya Ubuntu?

  Je mtaaalam aliyetoa haya maelezo naye kakosea au nayo hii sio prcess ya kuinstall drivers
  http://ubuntuforums.org/showthread.php?t=1652668

  Happy to learn from your experince ndio maana tunakuja hapa. Mkuu
   
 20. HT

  HT JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  knowledge os heightless mointain, no one is always at the peak!
   
Loading...