Ubuntu or windows 7?

Kati ya hizo mbili ipi inaweza ku fight na virus
 
Kati ya hizo mbili ipi inaweza ku fight na virus
Ni Ubuntu mkuu, hii inatokana na kutokuwa na ma-virus programmer wengi wenye kiu ya kuandika virus za kushambulia Linux Distros zote Ubuntu included, ni machines i.e computers chache sana Duniani zinazo tumia Ubuntu OS ndio maana hakuna motisha wa kuandika virus vya kuzishambulia, unlike Windows OS ambayo inaongoza Duniani kuwa installed kwenye asilimia 90% ya PCs zote bila ya kujali lugha.
 
Kati ya hizo mbili ipi inaweza ku fight na virus
Virus nyingi zinaruhusiwa na mtumiaji computer mwenyewe, nina miaka natumia Microsoft essentials ni ya bure na sina shida hata kidogo kwenye computer zangu,
 

Hili tatizo hata mi linantokea sana na natumia Arial font, nikiweka kwa linux font zinapandana...na atena mimi natumia Ultimate Edition 3.4...the latest kabisa Gnome, ile ya 3.5 hawana Gnome kwa hiyo environmental yake siikubali kivile!!
 
Kwa matumizi ya mtandao pekee, Ubuntu inafaa? Je, niweke sambamba na Windows8?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…