Ahahaha wawili tu watakuwa wakike watakaofuata wote wa kiume pole sana
Loh..!!! Akiiona mlengwa imekula kwangu
Na mimi nimenyoosha kidole huku..hakuna uwezekano wa mapacha 2 + 1?
basi nahamia kwako
Unahamia unarudi? nimekutema baada ya kutangaza hadharani. unarudi wapi tena?
Unahamia unarudi? nimekutema baada ya kutangaza hadharani. unarudi wapi tena?
kakosa msimamo huyo..wenye msimamo tupo
natamani iwe kama zamani
sikukukosea nilikosea kuamua
wewe utakua huyawezi
kakosa msimamo huyo..wenye msimamo tupo
naweza sana, mwambie aniweke kwenye orientation!!!
natamani iwe kama zamani
sikukukosea nilikosea kuamua
wewe utakua huyawezi
aliyekwambia sumu inaonjwa kwa kulamba nani ?
Sasa itabidi nifanye mpango nioe wanawake wanne kwa mpigo kisha tufanye maombi kwa pamoja kila mke mzao wa kwanza alete pacha, hapo ntakuwa wote nimewatendea haki bila upendeleo, sawa?Na mimi nimenyoosha kidole huku..hakuna uwezekano wa mapacha 2 + 1?
ndio nimeshapata Mshana Jr...kabanga kaka ujanja kupata sio kuwahi
pamoja kaka...Kwema sana Kiongozi