Ubunifu wa CHADEMA kifo cha CCM

mbona ccm ilishasahaulika zamani sana. Sasa kimebaki kivuli change tu. Tukutane kesho tanganyika packers sasaivi nipo safarini kuhudhuria huo mkutano toka mwanza.
mzee umepanda basi gani na mimi naelekea kwenye mkutano na usafiri binafsi kama vipi twende wote,sasa hivi niko maeneo ya dakawa moro.
 
Wewe Njoo tu,,tuone kama utapata faida na huo mkutano wenu,yani ninyi siasa zenu mpaka muitaje CCM ndo mnapata sifa,,kwa namna hiyo hamuwezi kabsaaa kuchukua nchi hii mie nawaambia huo ndo ukwel,mshachukulia wotee walioko CCM ni wezi Tu,,
Umeshachukuliwa msukule ndo maana huelewi somo.Utakapozinduka ndo utajua kama ccm hawafai, na mko wengi mnafahamika kwa kauli zenu.
 
WATANZANIA wasitegemee kupata raisi mwadilifu ndani ya ccm.labda nje ya ccm.
VOTE FOR UKAWA.
 
Kuna ongezeko LA kura za mgombea wa ukawa kutoka Zanzibar,na pia kura za muungano wa ukawa bara,nafikiri zina impact kubwa kwa ccm,baba yao JK ameshaliona,ila mambulura kama nepi naona hawajashtuka bado
 

Mwaka huu majizi yatataga. Maana hakuna mahali hawajatibua. Madereva tunawasubiri kwa hamu.
 
yametutia umaskini wa hatari,pamoja na mali zote tulizo nazo,we need changes now
 
Hivi chadema wapo ktk kundi la watu wabunifu? acheni sifa zisizostahili
 
Hivi chadema wapo ktk kundi la watu wabunifu? acheni sifa zisizostahili

NDIO mkuu kule lile TANGAZO la lipia CHADEMA kwa MPESA lilozinduliwa na LEMA Arusha sijui limeishia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…