Ubungo: Hujuma za wazi dhidi ya Mnyika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubungo: Hujuma za wazi dhidi ya Mnyika!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by LUSAJO L.M., Oct 31, 2010.

 1. LUSAJO L.M.

  LUSAJO L.M. JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Habari toka jimboni Ubungo zinasema kwamba Fomu namba 13C hazijatumwa kata zote za Ubungo. Pia wasimamizi wengi hawahesabu kura kwa kusingizia Fomu namba 16 hazipo. Hata hivo fomu hizo ni kwa ajili ya shahada za Utumishi wa Umma.
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ehee, wanataka usiku uingie ile wakate umeme? Si wahesabu ili hizo form zikija wamalizie kujaza?
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Chonde chonde Mnyika wai kununua karabai au rechargeable na kuzisambaza kata zote
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa sijaelewa kitu; Mnyika kaa macho sana yasije kutokea aliyotufanyia Keenja maana kushinda tayari umeshashinda
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapa ndio pa kuweka inputs zote kwa yeyote anayeweza kusaidia ili makwarukwaru yasiingizwe!
  Mnyika ni kiungo wa muhimu sana pale MJENGONI jamani....alindwe kwa gharama zote!
   
Loading...