Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,069
- 14,710
Fuatilia maisha Yako mama!Umeandika ukiwa na utimamu wa akili? Mtu akiingia na petrol humo ni mjanja? Taifa lina viazi sana hili au stress zimekuzidi lakini ukiandika kitu fikiri kidogo mkuu.