Vijana nchi hii sijui wamekosea nini, wanachukuliwa kama MAJAMBAZI ?DAR: Serikali yatoa siku 3 kwa wafanyabiashara ndogondogo wa eneo la Ubungo wawe wameondoka eneo hilo ili kupisha ujenzi wa barabara za juu.
Mradi huo wa barabara za juu(flyover) unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya serikali kukamilisha taratibu za utoaji tenda kwa kandarasi ya Ujenzi.
http://
www.jamiiforums.com/mobile-gallery/9256c56d5fe5d8c19dc19725397ba67a.jpg
Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo huja na maumivu kwa wengine.
Bila kuwaondoa hapo ujenzi wa flyover utawezekana vipi?wanakaba kila sehemu wanavunja nyumba (bomoa bomoa kimara& mbagala)
Saivi tena wanahamia kwa wamachinga.
Kweli huku mjini waliogoma kusepa mwezi wa 7 saivi tunafukuzwa kwa nguvu
Tatizo ni kwanini serikali hahikutenga sehemu ya wamachinga.Bila kuwaondoa hapo ujenzi wa flyover utawezekana vipi?
Vibanda vyao vinahamishika ingekuwa walijenga ni sawa....halafu wakiandaliwaga sehemu huwa hawaendi.Tatizo ni kwanini serikali hahikutenga sehemu ya wamachinga.
Mradi wa flyover ndio unawakumbusha mwazo walifanya makosa
Huoni sehemu wanapopelekwa ni mbali na mzunguko wa pesa. [emoji23] [emoji23]Vibanda vyao vinahamishika ingekuwa walijenga ni sawa....halafu wakiandaliwaga sehemu huwa hawaendi.
Kwahiyo wafanyabiashara wote wawe center moja katikati ya mji? Hao wanunuzi ni watu wanaoishi nje ya mji, wawafate huko.Huoni sehemu wanapopelekwa ni mbali na mzunguko wa pesa. [emoji23] [emoji23]
Sasa wewe mkuu hutaki hizo flyover sijengwe hapo? Au unajua kupinga tu kila kitu?Huwa najaribu sana kuwaza......
Kwa jinsi serikali inavyo wa disturb wakazi wa Daslam......
What if wakiamua kuhama jiji na kuelekea kwenye mikoa mingine isiyo na bugudha.....
Hapa nawaza tu
Habari za kazi wakuu wa 24/7.....Lazima walishaambiwa kitambo, ila ni ule ubishi tu wa kujiambia mbona hawajaanza ndio utakuwa uliendelea.