Uchaguzi 2020 Ubunge wa Rombo: Ni mpambano kati ya Joseph Selasini dhidi ya Godlisten Malisa

Uzuri K’Njaro watu wana uelewa na wanaweza kubadili chama chochote wako kama watu wa Uingereza au Marekani ndio maana wapo mstari wa mbele kwenye siasa za upinzani wakati watanzania wengine bado wanafikiri ccm ni jina jingine la Tanzania.
Hakuna kitu kinachoitwa uelewa, Nec ipo chini ya magu na itafanya kile nachokitaka Magu. Hukusiki Mbeya mkuu wa mkoa sijui wilaya aliomba kwa Rais kisa wlimtangaza mpinzani? Wqkati wao sio tume
 
Malisa apewe support.. Tunamuombea

Jr
 
Ongeza Prof Mkenda
 
30 huyu-huyu ambaye ukimuondoa kwenye kundi sogozi / Watsup group anahama chama ndio apewe jimbo la Rombo tena!NEVER
30OUT
30-Hatakiwi, ni kikaragosi kwa manufa yake!
Akalee wajukuu na kusimamia mali za LAMWAI, FIRM INAKUFA ILE, hakuna mishahara
 
Sasa CHADEMA wao wanafukiria kumsimamisha nani?

Wasipoangalia wanapoteza jimbo lile.
 
Nyie mnafikiri siasa za Kilimanjaro ni kama za kwingineko? Watu hawadanganyiki kirahisi na ccm kama kwingine na watu kule wanabadilisha vyama watakavyo.
Wanadhani kule ni kama Kongwa, Mtera au Nkasi?
Huko mtu anapigiwa kura kwa sababu alileta kikundi cha TOT taarabu wakaimba na kumtaja?
Hivi mtu anapanga foleni kumchagua Ndugai au Lusinde ana akili timamu kweli? Ndio maana wanakunywa maji ya visima kwa zamu na ng'ombe
 
Selasini kesha kula vipande 30 vya pesa. Vitamtokea puani. Ata pata kura yake na mkewe. Warombo tuna jifahamu...
 
Hapo CCM anajiachia mlima kitonga.Anapiga free gear wakati warombo wanapiga mswaki asubuhi wakifika kituoni wanakuta matokeo tyr yashabandikwa.Mmamaee.
 
Kumfananisha Selasini na Malisa ni Sawa na Kufananisha Kitambi na Mimba.
 
CCM saa Nne tu inatangazwa Mshindi
Uzuri K’Njaro watu wana uelewa na wanaweza kubadili chama chochote wako kama watu wa Uingereza au Marekani ndio maana wapo mstari wa mbele kwenye siasa za upinzani wakati watanzania wengine bado wanafikiri ccm ni jina jingine la Tanzania.
Kila la kheri bwana Malisa. Ni wakati muafaka wa kuibua damu changa kwenye ardhi hiyo. Selasini sio relevant tena kwenye siasa za upinzani
 
Noma sana!
Ameonyesha udhaifu sana na ameaibisha Warombo wote.
Mwanzo waombo walituhumiwa kutokuwa na nguvu za uume mpaka wake zao wakawa wanakwenda holili kuchapwa na wakenya-wataita, wakaacha pombe wakala vyakula vyenye virutubisho kama wamarangu nguvu zkarudi , sasa huyu 30 kaja tena kuwaaibisha , eti anahama chama kwa kuvuliwa kwenye grupu la WASAPU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…