Ubunge Lulindi: Jerome Bwanausi (CCM) atangazwa mshindi

Ubunge Lulindi: Jerome Bwanausi (CCM) atangazwa mshindi

Katiba hii Dar esa salaam inaongozwa na ukawa, katiba hii hii Kilimanjaro mkoa mzma kasoro majimbo mawili yameenda ukawa katiba hii leo mmeongeza wabunge, inkuwaje haina haja CCM kushinda ubunge jimbo moja hilo
Ndugu ni kama unapoteza tu muda wako na busara zako kuwaelimisha hawa malofa,uwezo wao ni kama wale wanaopita Serengeti na kuvuka mto Mara kwenda Kenya
 
Hayatuhusu, hata hizo kura ni uongo! Maana jana wasimamizi walisema vituo vingi vilivyokuwa na daftari lenye kurasa 50, halikuisha!

najiuliza hizo 17 zimepatikana vipi na mie niliwasikia wasimamizi wakisema kuwa hata watu 50 hawajafika, lakini naona kuna 17 elf
 
Back
Top Bottom