stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
ebu nitajie diwani wa ccm jembe unayemjua aliyekua sinza
He deserves!He deserve.....i know him......go on
Chuki binafsi haijengi mkuu!Jamaa Sinza kazingua sana hakuna jipya alilofanya ni bora angeendelea yuleyule Mzee Mwakininda...Sinza hata angegombea tena angechora chini.
Mkuu state clearly,ulitegemea akufanyie nini na amekufanyia nini?Bora hata mzee Mwakininda aliyetoka, tukamtegemea jamaa ataleta maendeleo lakini kawa mtu wa Good Time sana ni mtu wa bieree tu(Ni personal issue) lakini angekuwa anatimiza wajibu wake tungeona sawa.
Chuki binafsi haijengi mkuu!
Mkuu state clearly,ulitegemea akufanyie nini na amekufanyia nini?
Je unazani nini kimesababisha hashindwe kufikia matarajio yako wewe kama mpiga kura?
Mkuu bado hujanijibu swali langu!Mkuu kama unakaa Sinza utafahamu nilikuwa namaanisha nini...
Mkuu kwa jinsi binadamu tulivyoumbwa unaweza ukawa na chuki binafsi na mtu bila sababu ya msingi!Mkuu niwe na chuki nae binafsi ya nini sasa maana hanifikii chochote..kwahiyo tumpigie makofi na kumshangilia wakati.hana jipya sasa.
Duh hivi kumbe kampeni zishaanza??? NEC mko wapi is this allowed?
kuna kijana mmoja pale MAGU aligombea mwaka (2010) kupitia CHADEMA anaitwa MUSSA MABAWA ni kijana makini sana anayeweza kuwawakilisha na siyo huyo bongo flavour.
kuna kijana mmoja pale MAGU aligombea mwaka (2010) kupitia CHADEMA anaitwa MUSSA MABAWA ni kijana makini sana anayeweza kuwawakilisha na siyo huyo bongo flavour.
He deserve.....i know him......go on
Mkopa bia bar za sinza kisa diwani...ptuuuh hafai na hata huo udiwani sinza hatakaa aupate tena
Jamaa Sinza kazingua sana hakuna jipya alilofanya ni bora angeendelea yuleyule Mzee Mwakininda...Sinza hata angegombea tena angechora chini.