New Force 2015
Member
- Oct 25, 2013
- 63
- 262
Anaweza kama akiamua kuacha utoto na asidhani u-chadema ndio unaoumpa ubunge bali uwezo wake kiakili, na ukomavu kisiasa then chama kije kumbeba baadae. Najua atakuwa na wapinzani wengi ndani na nje ya chama pale Magu, ajipange sawasawa. Vinginevyo, ningemshauri aendelee kupata udhoefu kupitia udiwani tena kwani Magu hawana hasira waliozokuwa nazo wapiga kura wa sinza kwa Mwaking'inda
Ni heri akimbilie Magu amabapo hawamjui coz Sinza pamemshinda hata akijaribu 2015 hawezi kupita labda apate ngekewa kama ya 2010
Naomba asiwe na AKILI mbovu kama Godbless Lema!
hata lema alipigiwa upatu namna hii kumbe boya chadema mtu anayeongea kwa hasira hadi mishipa ya koo na shingo kusimama ndio anaitwa mwana siasa bora.r.i.p chadema
Naomba asiwe na AKILI mbovu kama Godbless Lema!
Tumekusimamisha unanachama kuanzia sasa kwa kutumia ID fake kujitangaza..........
Kwani mmbunge yeye ni idara ya maji mpaka atuhumiwe kwa ishu ya maji.njoo tu kamanda,jimbo lipo wazi.aliyepo wananchi walishamchoka hata 2010 alitangazwa kwa msaada wa policcm.ameshindwa hata kuitisha mkutano hata 1 tu kuwashukuru wapiga kura kwa kuhofia kuzomewa.yupo bungeni kuchapa usingizi hawasemei wapiga kura wake wanaosumbuliwa na matatizo lukuki likiwemo la maji yaliyo km 3 tu kutoka ziwani.
Ni heri akimbilie Magu amabapo hawamjui coz Sinza pamemshinda hata akijaribu 2015 hawezi kupita labda apate ngekewa kama ya 2010
wewe unajiona mzima? au ndo mambo ya vichaa kuwaona timamu kuwa ni vichaa isipokuwa yeye tu.