Tanzania Mpya JF-Expert Member Apr 11, 2012 253 144 Apr 19, 2012 #1 Mambo yatabadilika tu, nchi ni ya kwetu wananchi na si ya kwao mawaziri mafisadi!! Halafu JK sijui kawapata wapi hawa?! Kwenye katiba mpya mawaziri wasiwe wabunge.
Mambo yatabadilika tu, nchi ni ya kwetu wananchi na si ya kwao mawaziri mafisadi!! Halafu JK sijui kawapata wapi hawa?! Kwenye katiba mpya mawaziri wasiwe wabunge.
S Sunga Member Mar 22, 2012 89 22 Apr 20, 2012 #2 Kwanza mawazili watakuwa na vibuli, wazili lazima awe mbunge ili kuleta changamoto za uwajibikaji