Wanajamvi kwa mda mrefu sasa kumekua na hoja ya ubora wa elimu ya vyuo vikuu bora hapa Tanzania
Kuna mwana member mwenzetu hapa anaitwa MPIGA MSULI,kazi yake yeye ni kuponda vyuo binafisi!!
Leo tena kaanza kutoa kashifa kwa (IFM)
Hv wewe mpiga msuli ni chuo gani bora kwako!!!