dj afro fan
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 106
- 79
Hahahaha wewe nimekuelewa sanaKama inafanya kazi na umeshaipokea endelea nayo tu. Siku hizi hata apple products zao zote ni made in China na quality ni ile ile ya Apple
mie ni Gwiji katika ushauri sema siwachaji hela raiaHahahaha wewe nimekuelewa sana
Kwanza kwa hiyo bei ya laki nne na nusu kwa TV kama hiyo hauna hasara kabisa. Hata singsung/TCL/Star X/Sansan/Ouling za 32" zitaRange humo humo ingawa nyingi ni 1080P/i. Kutengenezwa china haimaanishi kwamba sio product ya italy, Inawezekana china ni uzalishaji tu kama zilivyo bidhaa zingine. Sijaona sababu ya kuwa na hofu na TV yako, Burudika mzee.Wakuu habari zenu, mwez mmoja uliopita nilinunua tv 32'' kutoka jumia (online shopping) kwa kiasi cha 450000 mpaka moshi. Nilivutiwa kununua tv hii sababu jumia walidai ni original brand from italy. Pia specification za tv zilinivutia sana. Specification n kama ifuatavo.
Screen resolution 1920×1080
Display screen. LED
Ports. Ina port mbili za HDMI, T-LINK naweza tumia simu ikareflect kwenye tv, port mbili za USB,
Power, ina sehemu mbili za umeme yani 12v DC na 220v AC
Security, unaweza weka password kama ukizima tv wakati wa kuwasha lazima uweke password.
Warranty . 2 years.
Wakuu naombeni kujua ubora wa tv hii kwa anae fahamu au anae tumia, maana hii tv ilivo kuja kwa nyuma imeandikwa made in PRC baada ya kugoogle hyo prc ikaja PEOPLE'S REPUBLIC OF CHINA. na huku kwnye screen kumepambwa na bendera za italy, na box kwa pemben limeandikwa produced for Evvoli Milan italy! Nachanganyikiwa made in china na produced for evvoli Milan italy. Mpaka sasa sijaona tatzo la kiufund kwny tv picha ni quality sana sauti ni high quality lakin naomben mtazamo wenu juu ya tv hii.
Nmekusoma sana mkuuMkuu ukigoogle kitu ukiona results ni za Kitanzania na Dubai ujue huyo ni mchina wa kurebrand. Mtu anatengeneza kitu china na kuweka jina lake.
Thanks hv ipi njia Bora zaidi kutumia upande wa DC na AC na je tv ipi inaweza dumu zaidi kulingana na risk ya umeme au radi?Kwanza kwa hiyo bei ya laki nne na nusu kwa TV kama hiyo hauna hasara kabisa. Hata singsung/TCL/Star X/Sansan/Ouling za 32" zitaRange humo humo ingawa nyingi ni 1080P/i. Kutengenezwa china haimaanishi kwamba sio product ya italy, Inawezekana china ni uzalishaji tu kama zilivyo bidhaa zingine. Sijaona sababu ya kuwa na hofu na TV yako, Burudika mzee.
Kwanza TV yenye DC ni TV ambayo ipo tayari kutumika kwenye umeme wa solar(12V DC au hata zingine zinakubali hadi 24V DC). Nakushauri njia salama zaidi ni kutumia umeme wa kawaida wa Tanesco( AC) kwani hapo utakuwa unaitumia powersupply halisi ya TV na TV itapata umeme uliokusudiwa. Kutumia DC 12V Adapter ambayo haijaja na hiyo TV kunaweza kuwa na madhara ya muda mfupi au mrefu kwani huwezi kujua ubora wa adapter utakayotumia na ubora wa adapter unaweza kuwa na athari katika umeme unaotoka , unaweza kuwa unazidi/unapungua/unachezacheza/una noise.Thanks hv ipi njia Bora zaidi kutumia upande wa DC na AC na je tv ipi inaweza dumu zaidi kulingana na risk ya umeme au radi?
Ahsante ymollel kwa maelezo mazuri' naje? vp kuhusiana na TV Aina ya LG nayo inasehemu ya DC pekee japo unapewa pamoja na adapter yake. Alafu nahitaji kununua TV nch 32. Tv ipi Inaweza kuwa Bora kwa rangi pamoja na uimara kati ya TCL na LG? Au unaweza nishauri nichukue ip Kati ya hzo? Au tofaut nahizo?Kwanza TV yenye DC ni TV ambayo ipo tayari kutumika kwenye umeme wa solar(12V DC au hata zingine zinakubali hadi 24V DC). Nakushauri njia salama zaidi ni kutumia umeme wa kawaida wa Tanesco( AC) kwani hapo utakuwa unaitumia powersupply halisi ya TV na TV itapata umeme uliokusudiwa. Kutumia DC 12V Adapter ambayo haijaja na hiyo TV kunaweza kuwa na madhara ya muda mfupi au mrefu kwani huwezi kujua ubora wa adapter utakayotumia na ubora wa adapter unaweza kuwa na athari katika umeme unaotoka , unaweza kuwa unazidi/unapungua/unachezacheza/una noise.
Ahsante vp kuhusiana na TCL? Ubora na uimara?Kwanza TV yenye DC ni TV ambayo ipo tayari kutumika kwenye umeme wa solar(12V DC au hata zingine zinakubali hadi 24V DC). Nakushauri njia salama zaidi ni kutumia umeme wa kawaida wa Tanesco( AC) kwani hapo utakuwa unaitumia powersupply halisi ya TV na TV itapata umeme uliokusudiwa. Kutumia DC 12V Adapter ambayo haijaja na hiyo TV kunaweza kuwa na madhara ya muda mfupi au mrefu kwani huwezi kujua ubora wa adapter utakayotumia na ubora wa adapter unaweza kuwa na athari katika umeme unaotoka , unaweza kuwa unazidi/unapungua/unachezacheza/una noise.
TCL unaifananisha na LG mkuu!!?Ahsante ymollel kwa maelezo mazuri' naje? vp kuhusiana na TV Aina ya LG nayo inasehemu ya DC pekee japo unapewa pamoja na adapter yake. Alafu nahitaji kununua TV nch 32. Tv ipi Inaweza kuwa Bora kwa rangi pamoja na uimara kati ya TCL na LG? Au unaweza nishauri nichukue ip Kati ya hzo? Au tofaut nahizo?
Ushauri tafadhaliTCL unaifananisha na LG mkuu!!?
Ahsante ymollel kwa maelezo mazuri' naje? vp kuhusiana na TV Aina ya LG nayo inasehemu ya DC pekee japo unapewa pamoja na adapter yake. Alafu nahitaji kununua TV nch 32. Tv ipi Inaweza kuwa Bora kwa rangi pamoja na uimara kati ya TCL na LG? Au unaweza nishauri nichukue ip Kati ya hzo? Au tofaut nahizo?
Ahsante Kaka ymollel ntajtahd kufanya km ulivoshauri nataka nkabebe LG nch 32Kama adapter imekuja na TV hakuna shida, hiyo ni original.
LG/SAMSUNG/SONY/PANASONIC ni bora kuliko hizo zingine ila tu kwa bei zipo juu kwa hivyo kwa bei ndogo utapata TV ndogo. Kwa mfano LG/SAMSUNG utapata 24" kwa takriban 450000 wakati hizo zingine utapata 32" au zaidi.
Ni sawasawa na kufananisha Howo na Scania bossTCL unaifananisha na LG mkuu!!?
Hapo mkuu umetufunsisha wengi, thanx sanaYes Ni product OG ya Italy. Kutengenezwa china sio issue. Maana hata iPhones zinatengenezwa China na zinauzwa USA and World wide as whoole. Makampuni mengi ya vifaa hasa vya electronics yana manufacturing factory au Assembling factory China kutokana na faida nyingi.
1. Ukiwa na product toka china ni Rahisi kuisambaza dunia nzima cuz China is a Hub of World business.
2. Pili china Factors za production zipo na Bei nzuri. Mfano Wafanyakazi, Ardhi, Umeme, Technology, Transportation na mambo mengine. So kama unaproduce Product kwa AJILI ya kuserve Dunia nzima au Asia na Africa basi ni bora uwekeze China
Hata Iphone nyuma zimeandikwa Designed by Apple California, Assembled in China.
So kuwa na Imani ni product Nzuri hasa kama ina meet requirements zako na pia Warranty uliyopewa ya miaka 2 ni Tosha kabisa kwa Electronics Equipments
Hapo mkuu umetufunsisha wengi, thanx sana