Ni miaka mingi nimekuwa nikifatilia siasa za Tanzania nimejaribu kuwalinganisha binafsi hawa wa upinzani nimegundua
1.tl ndiye kiongozi alieogopwa na rais wa nchi tokea uhuru kwa kusema ni bora slaa apate urais kuliko tl kuwa mbunge kwa hilo tu rais ambavyo tinaaminishwa ni taasisi kumwogopa mwanasheria ambaye ndo bado anataka ubunge ni ishara tosha kuwa jamaa anaelewa anachoaminia na siku zote ukweli utabaki palepale hata upindishwe vip.
2.ubora bungeni mpaka sasa hamna anaemkaribia tundu lissu ni mara nyingi amewafundisha bungeni masaju ana makinda sheria kitu ambacho mtawala wa sasa hakupenda itokee tena kwa kuzima bunge live
3,amefanyiwa figisu nyingi sana kwenye matokeo ya uchaguzi wa ubunge wake na bado zote alishinda tofauti na wanasiasa kama zito wanaobadilishana tu majimbo na ccm
4,ameshinda kesi nyingi za wananchi hasa kipindi yupo tarime aliweka rekodi ya kutoa zaidi ya 250 magereza ya mkoa wa mara ,pia kasaidia wanasiasa wenzake kurudi bungeni kwenye rufaa nyingi walizowekewa kwa hila
5,ameifanya tls kuwa chombo kinachoanza kujulikana kwa kasi nchini,watu wengi walikuwa hawajui kuna rais wa tls sasa wakina mwakyembe,chenge,ngeleja marmo wasonga wanajua na kumwamini lissu kama rais wao
6,ni kiongozi na mwanasiasa ambaye alitoka waziwazi kusema dalili za udictator zinanyemelea taifa kwa kutamka dictator uchwara ambayo kesi ipo mahakamani mpaka sasa
7,ukimwondoa mbowe tundu lissu ni mbunge ambaye kwa sasa yeyote anaefatilia siasa lazima awe anamjua na ampende japo binadamu ameumbwa na wivu hata kama mtu anafanya vizuri
Mwisho tumuunge lissu mkono katika harakati zake kisiasa na hasa katika kulihudumia taifa hili sidhani kama kuna mkataba mbovu au mswada wenye mashaka utapita endapo tukiweka utaifa mbele zaidi na kuacha tofauti za kichama