kaka @
njunwa wamavoko hapo kwenye SigSung 25" wafanyabiashara wanadanganya sio kweli kwamba ni 25" bali ni 24". wafanyabiashara wanaangalia kwenye model number, eti kisa kuna 25 katika yale maneno ndio wanasema TV ni inch25. SingSung wana inch 22", 24",32"........ hakuna 25"
mimi nilikuwa najua ni inch 25, lakini siku moja niliichomeka kwenye laptop niitumie kama monito, hapo ndipo computer iliniambia "
DETECTED 24" LED MONITOR" ikanibidi nichukue ruler na kupima, basi hapo ndio nikapata uhakika kwamba ni inch 24
angalia hapo chini:
hili ndilo box la singsung 24" na hiyo ndio model number.
View attachment 166758
hizi ni baadhi ya picha halisi za TV yenyewe, cha kufurahisha zaidi ni kwamba ina USB ports 2 ambazo zinasoma hadi external HDD ya 1TB.
View attachment 166759
View attachment 166761
View attachment 166760