Darren2019 JF-Expert Member Joined Nov 23, 2019 Posts 1,111 Reaction score 2,412 Feb 19, 2022 #1 Wakuu naomba elimu kuhusu hilo, mimi ni mbumbumbu katika haya masuala. Nilikuwa napitia Aliexpress nkawa naona bei za simu ziko chini mno kulinganisha na gsmarena au uhalisia wa huku madukani, hili limekaaje? Natanguliza shukrani. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Wakuu naomba elimu kuhusu hilo, mimi ni mbumbumbu katika haya masuala. Nilikuwa napitia Aliexpress nkawa naona bei za simu ziko chini mno kulinganisha na gsmarena au uhalisia wa huku madukani, hili limekaaje? Natanguliza shukrani. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,857 Reaction score 3,391 Feb 19, 2022 #2 Katika screenshot zako hapo hakuna simu original zote hapo ni FEKI.
Darren2019 JF-Expert Member Joined Nov 23, 2019 Posts 1,111 Reaction score 2,412 Feb 19, 2022 Thread starter #3 Baba Rhobi said: Katika screenshot zako hapo hakuna simu original zote hapo ni FEKI. Click to expand... Nakubaliana nawe, sasa ntajuaje original kwenye hili soko? Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Baba Rhobi said: Katika screenshot zako hapo hakuna simu original zote hapo ni FEKI. Click to expand... Nakubaliana nawe, sasa ntajuaje original kwenye hili soko? Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
KENNY JEEZY JF-Expert Member Joined Apr 19, 2015 Posts 271 Reaction score 279 Feb 20, 2022 #4 Darren2019 said: Nakubaliana nawe, sasa ntajuaje original kwenye hili soko? Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kuwa makini sana na majina pamoja na specifications kwa ujumla.. Mfano Iphone 13 Pro Max sio i13 Pro Max. Soma Reviews pia
Darren2019 said: Nakubaliana nawe, sasa ntajuaje original kwenye hili soko? Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kuwa makini sana na majina pamoja na specifications kwa ujumla.. Mfano Iphone 13 Pro Max sio i13 Pro Max. Soma Reviews pia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,907 Feb 20, 2022 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...