[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muda sasa foleni asubuhi masaa 3 mpaka kazini na kurudi hivyo hivyo sasa huo muda utatoka wapi! [emoji23][emoji23][emoji23]Maji ya Dawasco yamejaa kwenye mabomba yenu mnashindwa kuchemsha mnywe mnaanza kutupigia kelele.
Wanaume wa Dar mkoje?
Maji ya Kilimanjaro ni mazito hayana ladha kama maji ya vijijin kwetu Yan hayana asil ya utam wa maji yapo kama maji ya Bahar yalio chujwaHivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini?
Kunyweni hata yasiyochemsha mbona watu tunayagonga na tuko fresh tu. Kuna vitu watu wanajipa stress za Bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muda sasa foleni asubuhi masaa 3 mpaka kazini na kurudi hivyo hivyo sasa huo muda utatoka wapi! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kufungua mfuniko mpaka nitumie meno?Kuna maji yanaitwa Hill. Wajamaa wanajua kazi yao.
KIKEMIA;Hivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini?
Hivi Maji ya DASANI yapo?KIKEMIA;
Ukiona sehemu ya maelezo ya vilivyomo kwenye chupa(contents) ukaona wameandika pH 7.0 (ambayo ndio pH ya maji ya kilimanjaro) halafu ukanywa ukahisi Uchachu ujue ni FAKE!
pH 7.0 maana yake hayana ladha, wakati pH kuanzia 7.1 na kuendelea kama maji ya DASANI ndio kuna uchachu(basic)
Humo yanamopita ndugu acha mabomba yalivyo pasuka pasuka hatari , sasa usipojipenda mwenyewe nani akupende?Kunyweni hata yasiyochemsha mbona watu tunayagonga na tuko fresh tu. Kuna vitu watu wanajipa stress za Bure.
Mtu ulie luku, KING'AMUZI, vocha, kwanini maji usinywe ya bomba kupunguza gharama.
Hao hawajui kituSio wasabato?