Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,894
- 8,975
Hivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini??
Kumekucha kumekuchaMzee Mengi kaondoka na mali zake!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni mara pili sasa nakutana na maji ya kilimanjaro yana chumvi, labda kama ni fake kama mtoa mada mmoja alivyosema hapo juuMbona maji bado yana ubora ule ule. Mleta mada jiangalie labda kipindi unakunywa maji ulitoka kuzama chumvini, domo lako bado lilikuwa na chembechembe za chumvi
Dasani???Maji Bora ni Maji ya Afya hayo mengine ni maji ya wahaya na wachaga.
Nipo Kilimanjaro wakati huu maji ni mabaya sana. Yanachumvi. Mbaya zaidi hakuna brand nyingine za majiNaona kuna fake yameshaingia, na kuna thread watu walieleza humu.
Sijui ilikuwa ni wapi ila hata mimi nimeshawahi kunywa kilimanjaro yenye chumvi.
Ila sasa hivi nanunua ktk super market flani naona yako vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa,kitu dew drop nakielewa sanaaaa!Kuna maji yanaitwa Dew drop maji konki Sana Yale
Kama upo kanda ya ziwa kayanunue unywe..... Kisha leta mrejesho hapa..Mtoa mada hakuna shida na maji nafikiri shida yako ni
1. Kuanzisha uzi.
2. Figisu tu kuharibu biashara za watu.
3. Maji uliyotumia ni feki.
4. Ulitumia maji wakati umetumia chunvi.
5. Maji yaliwekwa chumvi eneo la tukio ndiyo ukapewa bila kuelewa.
Kuna uwezekano mkubwa Kanda ya Ziwa kukawa na kiwanda feki kinatumia brandi ya maji ya KilimanjaroKama upo kanda ya ziwa kayanunue unywe..... Kisha leta mrejesho hapa..
Unachosema ni kweli kabisa, sasa nimejua unachoongea kimekutokea. Mimi nimeacha kuyanywa kabisa mana yako na chumvi chumvi kabisa, maji ya mwanza, geita, kahama ya Kilimanjaro waangalie kuna shida!!!Kama upo kanda ya ziwa kayanunue unywe..... Kisha leta mrejesho hapa..
Mkuu ni kweli ila sio kwa mikoa yote, ukinywa maji ukiwa kanda ya ziwa utaelewa anachosema mdau.Mtoa mada hakuna shida na maji nafikiri shida yako ni
1. Kuanzisha uzi.
2. Figisu tu kuharibu biashara za watu.
3. Maji uliyotumia ni feki.
4. Ulitumia maji wakati umetumia chunvi.
5. Maji yaliwekwa chumvi eneo la tukio ndiyo ukapewa bila kuelewa.