thee kid
Member
- May 13, 2019
- 66
- 52
Habarini wakuu.nimekuja na Uzi huu,lengo ni kupata mawazo yenu nyie kama wadau wa elimu kuhusiana na ubora wa degree ya Sheria katika chuo kikuu cha ushirika moshi (MoCU).kulinganisha na vyuo vingine Kama mzumbe,udsm au saut.na je graduate wa degree ya sheria MoCU atakuwa na uwezo wa kucompete na graduates wa vyuo vingine kama nilivyotaja apo juu especially katika law school. Mwisho kabisa ningependa nijue kwanini vyuo vingine vina offer degree ya sheria kwa miaka 3 wakati vingine ni miaka4.nakaribisha mawazo yenu wadau
*positive criticism are allowed
*positive criticism are allowed